THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

watoto bongo


watoto wakicheza kwa furaha bongo


Kuna Maoni 5 mpaka sasa.

 1. sasa hapa michuzi hii bastora ndiyo maana huyo anajiandaa kuwa jambazi? Sijui maana enzi zetu hatukuwa nazo hizo tulitumia manati tu kuwindia ndege.

 2. Jeff Msangi Anasema:

  Hapa Canada na pia huko Marekani watunga sheria wanafanya kazi ya ziada ili kupiga marufuku hizo toys za silaha.Kuna hatari kwamba nchi kama Tanzania zitakuwa ndio masoko mapya kwa toys kama hizo ambazo kimsingi hazimjengi mtoto kuwa raia mwema.Bastola ni nini?Kwanini tumpe mtoto achezee?Hakuna vitu vingine vya kuchezea?

 3. John Mwaipopo Anasema:

  Sitaki kuchafua waliyosema Jeff na Makene. Mficha maradhi kilio kitamuumbua. Huyu atatuvamia tukiwa benki miaka si mingi ijayo. Huyo binti pembeni yake atakuwa kama yule mwanamama aliyeambatana na majambazi Ubungo.

 4. mark msaki Anasema:

  nina wasiwasi huyo bwa mdogo ni kijana wako michuzi! siye huyo?

 5. Indya Nkya Anasema:

  Niliwahi kuandika makala kuhusu utamaduni wa amani nikilenga haya matoi ya bunduki nadhani bado ipo kwenye blogu. Kama haipo nitaiweka ili isomwe tena. Ndio mwanzo wa kufundisha watoto vurugu huu halafu jioni tunawaacha waangalie zile sinema za mauaji!!