watoto wakicheza kwa furaha bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa hapa michuzi hii bastora ndiyo maana huyo anajiandaa kuwa jambazi? Sijui maana enzi zetu hatukuwa nazo hizo tulitumia manati tu kuwindia ndege.

    ReplyDelete
  2. Hapa Canada na pia huko Marekani watunga sheria wanafanya kazi ya ziada ili kupiga marufuku hizo toys za silaha.Kuna hatari kwamba nchi kama Tanzania zitakuwa ndio masoko mapya kwa toys kama hizo ambazo kimsingi hazimjengi mtoto kuwa raia mwema.Bastola ni nini?Kwanini tumpe mtoto achezee?Hakuna vitu vingine vya kuchezea?

    ReplyDelete
  3. Sitaki kuchafua waliyosema Jeff na Makene. Mficha maradhi kilio kitamuumbua. Huyu atatuvamia tukiwa benki miaka si mingi ijayo. Huyo binti pembeni yake atakuwa kama yule mwanamama aliyeambatana na majambazi Ubungo.

    ReplyDelete
  4. nina wasiwasi huyo bwa mdogo ni kijana wako michuzi! siye huyo?

    ReplyDelete
  5. Niliwahi kuandika makala kuhusu utamaduni wa amani nikilenga haya matoi ya bunduki nadhani bado ipo kwenye blogu. Kama haipo nitaiweka ili isomwe tena. Ndio mwanzo wa kufundisha watoto vurugu huu halafu jioni tunawaacha waangalie zile sinema za mauaji!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...