hii ni siku yanga ilipofungua dimba la ligi kuu na kuichapa mtobwa 3-0 neshno... na kuanza kuongoza ligi ile pyeeee! tehe tehe tehe. nasikia wanaomba ligi isimamishwe watangaze ubingwa leo. mwaipopo upo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante sana kaka Michuzi. Yaani umenikuna roho sio mchezo ati. Ubarikiwe baba. Hii ni ishara tosha kuwa Zanaco kesha tayari.

    ReplyDelete
  2. michuzi we yanga nini?

    ReplyDelete
  3. Vipi naweza kupata ya Said Mwamba Kizota?

    Huyu ni Yanga dam-dam. Alikataa-ga uraia Abudhabi ili awe huru kuichezea klabu hii yenye rangi zinazofanana na chama fulani cha siasa (ndio mjua-ge ni timu ya kina nani hiyo).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...