Home
Unlabelled
zenj empire
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
picha hii imeongea! juzi watu wamelalamika TRA imezikwida ZNZ zao dar kutumia majembe na Yono auction mart wanauliza kulikoni muungano?? mbona wanapenda kuwapotezea watu muda? nimekumbuka nimeona hiyo TZG ikipeta bila wasi ndani ya mji mkongwe!
ReplyDeleteMstari mwekundu ukiwa juu ya alama ya "P" ina maana "no parking". Hiyo inaeleweka. Sasa huyu mchoraji aliyeweka alama ya P juu ya mstari mwekundu ana maana gani? Ngoja nibuni: Nadhani anajaribu kutueleza kuwa kuanzia sasa tunaruhusiwa ku-park mahala ambapo parking ilikuwa inakatazwa hapo awali! Au kuna maelezo mengine kwa maana sijawahi kuona sign kama hii!
ReplyDelete