sheria msumeno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. picha hii imeongea! juzi watu wamelalamika TRA imezikwida ZNZ zao dar kutumia majembe na Yono auction mart wanauliza kulikoni muungano?? mbona wanapenda kuwapotezea watu muda? nimekumbuka nimeona hiyo TZG ikipeta bila wasi ndani ya mji mkongwe!

    ReplyDelete
  2. Mstari mwekundu ukiwa juu ya alama ya "P" ina maana "no parking". Hiyo inaeleweka. Sasa huyu mchoraji aliyeweka alama ya P juu ya mstari mwekundu ana maana gani? Ngoja nibuni: Nadhani anajaribu kutueleza kuwa kuanzia sasa tunaruhusiwa ku-park mahala ambapo parking ilikuwa inakatazwa hapo awali! Au kuna maelezo mengine kwa maana sijawahi kuona sign kama hii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...