jesca charles wa twanga pepeta na shemeji yetu wa kiingereza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ndiyo bana. Naona wote wawili mmeng'ara kama mbalamwezi...

    ReplyDelete
  2. Watu wanamwaga jivu tu.... wakimuona huyu mzungu na huyu ex-CD(Changu doa) Yeye anajiona kaopoa bongo la toto...duu noma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vyangudoa hujuana...itakuwa ni changudoa mwenzio huyu mnauza wrote nyapu mama wivu unakusukutuka nyau weee

      Delete
  3. Jamani huyu si mmoja wa wale watalii wabeba vibegi kule Mikumi?? mhh Jessica hana pesa huyo, mpauko tu!!

    ReplyDelete
  4. acha dada apate jamani wewe unapondea akikosa poda utampa ?

    ReplyDelete
  5. yaani story refu ya hawa waili walikutana dubai twanga ilipokwenda kupiga muziki. ndipo jamaa alimuona demu stejini akampenda. jamaa akaamua kuja dar kumtembelea demu dar demu akampeleka hoteli jamaa hakufurahi akamwambia kwa nini hunipeleki kwako? demu akawa hana raha na yeye hakutaka kumpeleka kwa sababu home palikuwa hapako vizuru akamwambia jamaa. jamaa akamwambia hivyo hivyo mimi nimekupenda wewe hivyo usione aibu juu ya swala lolote. baada ya kufika nyumbani mzungu kuona yale mazingira akaamua kumnunulia nyumba ndio wanapoishi hapo ingawa jamaa anasafiri sana na gari pia alimnunulia. kwa hiyo ni wapenzi wanapendana tuuuuu.

    ReplyDelete
  6. Wanamelemeta eeh? Au siyo wajameni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...