jk akimpa rais wa afrka kusini kadi ya hepi bethdei siku thabo mbeki wa afrika kusini alipokuja bongo kushuhudia kuwekwa sahihi mkataba wa amani burundi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani naomba kuuliza hivi huyu Madiba ametimiza miaka mingapi?

    ReplyDelete
  2. Thabo Mbeki hapo tarehe 18 June 2006 alitimiza miaka 64.

    Thabo Mbeki alizaliwa tarehe 18 June 1942 katika sehemu ijulikanayo Idutywa, Transkei, Queenstown, South Africa.

    Nashukuru,
    Copyright 2006 MK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...