miss tz 2006 wema akiwa na baba yake isaack sepetu (kulia) na bosi wa shivacom tanil somaia aliyefadhili gari na pesa kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. mwalau hakukuwa na malalamiko sana, ila yale ya kawaida ya wadau wa washindwi, na mshangao wa vile photo point tulivyopiga bao kwa kuchagua chaguo la wengi kuwa miss fotojeniki

    ReplyDelete
  2. Mwanya utamponza huo huo miss world,kimataifa mwanya ni tatizo,sio urembo kama Africa,labda miss world Africa

    ReplyDelete
  3. Wema sepetu alijulikana atakuwa miss Tz mara baada ya aliyekuwa ameahidiwa(YUle miss Kinondoni aliyejitoa)kujitoa. Watz kwa kupenda mambo yaliyopinda pinda sijui tutayaacha lini. Watu wanafanya mashindano wakati mshindi alishajulikana siku nyingi. Shame!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa. Mtoto mwenyewe wala si mzuri wa kutisha ila sema tu baba yake ni kigogo basi. Si unajua tena utamaduni wa Bongo ulivyo wa kisenge. kwa maoni yangu, mshindi wa pili ni mzuri maradufu!!!

    ReplyDelete
  5. Miss TZ sio uzuru tu ni pia talent na akili ,mnajuaje huyo wa pili labda kichwa maji,uzuri siku hizi haumati sana kichwa na shule,na maarifa ya jamii.

    ReplyDelete
  6. Weee huyo mshindi wa pili ndio alitakiwa kuwa Misstz, maana kwa akili ndio mwenyewe uliza uambiwe sio unasema tuu, na uzuri pia, yaani huyo mngempeleka Miss world msingepata shida kwani ndio angekuwa MissWord trust me,laikini huyo sepetu ni zero tu, tunarudi kulekule nyuma baada ya kwenda mbele.Sikia sepetu nakutakia mafanikio mema,lakini nakushauri kitu kimoja mama lugha muhimu pia nidhanu na kuwa na upendo,michezo pia hasa ya majini ok. all the best.

    ReplyDelete
  7. Sasa mbona huyu hanivutii mimi naomba wamuweke anatalia hata na siyo huyu

    ReplyDelete
  8. We anony wa 10:58 acha kufuka na kusema usilolijua. Jokate form 4 alikuwa na 1.11 na form 6 2.10 sasa utasemaje ni kilaza?

    ReplyDelete
  9. nakubaliana na wengi walioshangazwa na ushindi wa huyu Sepetu... hafai kuwa Miss TZ kabisa

    ReplyDelete
  10. Huyo Shiva whatever ndio mnyonyaji mkubwa! Yaani ametutukana watanzania kichizi kwa kutoa OFF ROAD gari kwa miss TANZANIA! Mnaelewa gari ikiwa off road?

    ReplyDelete
  11. maskini miss kinondoni ndo alipaswa kuwa miss tanzania

    ReplyDelete
  12. WALA SIO SIRI, NAMSAPOTI ANONY HAPO JUU.
    KILA MTU ALISEMA MISS KINONDONI NDIO ANGESTAHILI KUWA MISS TANZANIA.
    LAKINI NDIO HIVYO TENA, KWANI HAMJUI KINACHOENDELEA KATIKA MASHINDANO HAYA KILA MWAKA NA KILA MAHALI DUNIANI. UKIWA MCHOYO WA UCHI BASI HUCHAGULIWI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...