miriam si supa modo anayetamba newala pekee, pia ni mwimbaji mzuri sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Yakhe huyu binti ana mume??

    ReplyDelete
  2. huyu binti ni mzuri kweli, lakini nimejaribu kuangalia picha zake nyingi hata kwenye myspace zinaishia kiunoni,MICHUZI unaweza kutuwekea picha ambazo zinaonyesha mwili mzima ilituweze kumfagilia zaidi

    ReplyDelete
  3. safi sana binti, sema modo ni sawa, supa modo ni mziki mwingine kabisaaa, TYRA BANKS au Kate MOSS watakuwa nani sasa? taratiiibu! labda, in the making.

    ReplyDelete
  4. Huyu demu mzuri kama alivyoumbika ,kifua kizuri!,ngozilaini ya kuvutia na hata sura yake, lakinitungeona vitu kamili mpaka chini tungemfagilia kama wahenga wanavyodai.

    ReplyDelete
  5. Michuzi hii picha hukupiga wewe. Ni vizuri ukatoa krediti pale unapotumia picha ya mtu mwingine.

    Nadhani wewe si mpenzi wa upigaji wa kutumia filta za lenzi. Picha zinatoka vizuri na filta lakini atifisho kiasi fulani...naomba komenti kaka michuzi

    ReplyDelete
  6. Ebwana binti amtulia kimtindo,inapendeza,na kwa mbali panaonekana kama vile ana tumbo lililo titia kwa ndania,,hahahaaaa!

    ReplyDelete
  7. Ah! She ain't Queen of Sheba. If I shag her I wouldn't repeat her.

    ReplyDelete
  8. Trio Kaka,

    Nitafute, mettyn@hotmail.com

    ReplyDelete
  9. huyu nae picha yake inazingua.kakaa yani very cheap.ukiingia kwenye fani mama jigharamie,sio mdomo unaenda unaukandika mawanja hupaki hata lip gloss au lipstick.yani kiufupi u r not attractive!

    ReplyDelete
  10. huyu so-called-modo...ana miguu hovyo...kiuno kipo juu na miguu mirefu, alafu ni vijiti ndio tatizo and she knows it. Pia wale Zairean singers walishakula hapa mpaka basi.

    ReplyDelete
  11. Haters will always hate! Huyu binti is still doing her thing whether we like it or not. Kumshushua na kutafuta imperfections are just a waste of time. Angalieni picha zake kwenye myspace.com/miriamchemmoss mtaona mwili wake vizuri zaidi, wala sioni unachosema wewe anonymous 4:34 PM. Kwa kweli maoni ya watu wengine hapa yanasikitisha sana....you must be miserable with your own lives. Miriam has a lot of supporters by the way, so at the end of the day, she must be doing something right.

    ReplyDelete
  12. Sasa Michuzi huyu Modo wa nchi zingine unatuwekea wa nini.

    ReplyDelete
  13. Soft PORN..Lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...