Home
Unlabelled
denda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nini bongo, saudi arabia!!..wangekiona cha moto babakee!
ReplyDeleteSababu sisi watu wa 3rd and 2nd world counties tunaishi kama vile wazungu walivyokuwa wanaishi zaidi ya miaka 1000 iliyopita, maisha ya "tabuu" kuficha feelings zako, kuishi kwa kupretend, kumind watu wengine kabla haujafanya kitendo, uncivilized life! Huku Holland bangi, sex popote hakuna mtu atakumind, bora ni vyako tu!
ReplyDeleteRukhsa!
Inaonekana hapa watu walimshangaa sana Michuzi wakati anapiga picha
ReplyDeleteBilicanas na huko YMCA kwa nyuma ndo palikuwa penyewe kwa dendas. Mnashangaa nini lakini denda ni denda. Lakini Bongo bwana midomo inenuka mpaka wote munywe bia ndo unaweza kupiga dendas.!
ReplyDeletehahahahahah jamani sio wote wananuka midomo hata hao wazungu wananuka ila wenzetu mapenzi yao tofauti hata asubuhi umeamka busu unapata bila kuswaki hahahah.
ReplyDeleteHoland in free country watu wanajifanyiwa wanalotaka ije dena hata mbele za wakwe lapgwa
MHHHU HUKO HOLAND KUNAONEKANA KUNA MARAHA !!ITABIDI NIJE KUTEMBEA NIJIONEE MWENYEWE.RAHA BWANA KUPIGANA MABUSU BARABARANI YAANI POPOTE PALE UNAPOJISIKIA!SIO BONGO MPAKA TAA IZIMWE WATOTO WAMELALA NDIO MPIGANE BUSU HAPO WOTE MMESHACHOKAA MNAAMUA KUNANIHII TU ISIWE TABU TUMALIZE TULALA KESHO KAZINI ASUBUHIII!BORINGGGGGGG!
ReplyDeleteWaswahili kwa ngono hamjachacha maana mnalizungumzia denda si mchezo. kesho bora mchuzi aweke picha wanabaluzana kabisa tujue moja.
ReplyDelete