THE late Vonetha Nkya and Walter Mazula, who were murdered in Detroit, United States, will be buried at the Kinondoni Cemetery in Dar es Salaam on Thursday.

Walter’s father, Air Tanzania Limited pilot Captain George Mazula, said yesterday that the body of his son and that of Vonetha would arrive at the Julius K. Nyerere International Airport on Wednesday night aboard a Swissair International plane.

He said that after clearing the bodies at the airport, the bodies of Vonetha and Walter will be driven to their parents’ home in Mbezi Beach and Mikocheni respectively where they will spend the night.

They are expected to be taken to the Kinondoni Leaders Club grounds for a requiem mass and last respects the following day.

The arrival of the bodies, earlier scheduled on Tuesday, has been delayed to enable completion of some paper work, including health certificates required to accompany bodies transported outside the US.

Capt Mazula said that a requiem mass for both Walter and Vonetha, who were to get married before the end of the year, will be conducted at the Leaders Club grounds starting one o’clock before the cortege leaves for the cemetery.

He said that the decision to conduct a requiem mass and last respective at Leaders’ Club was reached by the bereaved families.

The late Walter, who last Friday morning drove his fiance to office was later reportedly shot dead five times in the head and chest by yet to be known assailants.

Vonetha’s charred body was recovered on Saturday from a car. She was reportedly shot twice in the head before the car was set on fire.

She was identified by a pendant she used to wear which was stuck on her chest.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Kwa hiyo ni wezi wa magari ndi owamewaua inavyosemekana?

    ReplyDelete
  2. As friends and colleagues, let us join together in comforting the family at this irreparable loss during this very difficult time.

    ReplyDelete
  3. kwa hiyo hadi sasa hivi bado haijafahamika ni nani hasa aliyewaua hawa marehemu ? mhm, jamani dunia hii imejaa ukatili !!

    ReplyDelete
  4. Radio Butiama kwa matangazo bwana, Umezidi na karaha sasa. Hacha hizo atakae taka kuja ataenda kusikiliza usituletee matangazo yako. Umezidi.

    ReplyDelete
  5. I know men, kama watu wanajua tayari unayo hiyo redio unakuja kila siku kutuambia tuje huko, we vipi unatumia sehemu ya mwenzako kwa nini, acha hizo habari zako zenyewe hazina mbele wala nyuma unaongea kwa urefu tafuta njia nyingine andika atleast badala ya kuongea na sijui baada ya huu msiba utakuwa na nini kingine maana tumechoka na matangazo yako

    ReplyDelete
  6. I know men, kama watu wanajua tayari unayo hiyo redio unakuja kila siku kutuambia tuje huko, we vipi unatumia sehemu ya mwenzako kwa nini, acha hizo habari zako zenyewe hazina mbele wala nyuma unaongea kwa urefu tafuta njia nyingine andika atleast badala ya kuongea na sijui baada ya huu msiba utakuwa na nini kingine maana tumechoka na matangazo yako

    ReplyDelete
  7. Kweli tumechoka na ujinga wako wa hiyo REDIO ....kaa kimya na huo upumbavu wako wa REDI0

    ReplyDelete
  8. mbona mijitu mingine iko very bitter na maisha yao lakini>? tuko wengine tunaotaka matangazo kama hayo ili tujue whats going on. mwaya deus tangaza sanaaa na mie vile vile ntakusaidia kitangaza

    www.butiama.podomatic.com

    www.butiama.podomatic.com

    www.butiama.podomatic.com

    www.butiama.podomatic.com

    www.butiama.podomatic.com

    now nyie mmnaomind BITEME!

    ReplyDelete
  9. wabongo na hicho kiredio mbao kwa kuji-bost?loh kwa kweli tumechoka.

    ReplyDelete
  10. mzee mtangazaji wewe tenda mema uwende zako usingoje shukrani, maan awabongo baada ya ku-aprreciate wana hate !!

    ReplyDelete
  11. Siyo hate wala nini ndio ukweli wenyewe. Kama radio hiyo ina jipya basi waliowahi kuisikiliza watarudi tena na tena. Mbona Michuzi hapiti huko na huko kutangaza blog yake?

    ReplyDelete
  12. hapo juu umesema ukweli butiama butiama kwani hatujui mpaka utangaze alaaa. Kuna redio kibao na hawahangaiki hivi .Ukiona hivyo ujue hana members wa kusikilzia zaidi ya model aliyeminteview.
    Ona vinavyojiuza vyenyewe blog ya michuzi hapigi kelele wala nini
    Hebu tuendelee na hii habari ya kusikitisha

    ReplyDelete
  13. Hebu tokeni hapa radioButiama, radio Butiama. naona hauna business inabidi kutumia nafasi ya mwenzio Michuzi ili kujitangaza. Bwana ambao wamesikia hili tangazo lako washasikia anayetaka kutembelea na kusikia hiyo RADIO BUTIAMA atakuja, tumechoka sasa. NA NI KWELI JAMANI NAOMBA MTUELIMISHE TULIVYOSIKIA NI KWELI? KUWA WALTER NA MKEWE WALIKUWA INVOLVED KWENYE DODGY BUSINESS NDIO MAANA WAKAULIWA? MAANA KUNA MADHULUMISHO YA KIPESA NA WIZI WA MAGARI. ANAYEWAFAHAMU TUPENI HABARI BASI. UWIIII MASIKINI I HOPE IT IS NOT TRUE. MAANA UGHAIBUNI HAYA MAMBO YANATOKEA NA HATA BONGO SIKU HIZI WIZI WA MAGARI NA DODGY BUSINESES WAKIZIKANA PESA BASI BUNDUKI TU ZINATEMBEA WANAUWANA HIVI HIVI JAMANI.

    ReplyDelete
  14. stay on ur life na acha kuleta maneno yako ya mitaani, kama umesikia na utasikia mengi kaa nayo mwenyewe usianze kuleta maneno ya kuanzisha upuuzi wakati maisha ya mtu yameondoka, Please heshimu familia haya ni maisha ya wapendwa wao usianze upuuzi wa kusema marehemu vibaya kaa na uliyoyasikia na mke wako

    ReplyDelete
  15. KWA KWELI UMBEA WATU TUACHE HAPO CHA MAANA NI KUWAOMBEA HAWA MAREHEMU NA KUOMBEA FAMILIA ZAO ZIPATE UVUMILIVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU HAYA MAMBO YASIKIENI MBALI JAMANI NI MAGUMU POLENI SANA FAMILIA YA NKYA NA MAZULA POLENI JOYCE NA ANNA

    ReplyDelete
  16. Bwana tunawafariji familia ya wafiwa lakini tusi-igore people's questions kama wote mmesoma mwanzoni kabisa wa maoni haya swali limeulizwa JE NI KWELI WEZI WA MAGARI HAWA NDIO WAMEUWAWA? hakuna aliyejibu na limeulizwa swali hili na mwananchi mwingine naona maoni ya watu wachache hapa wanawasakama tu. Jamani ni vizuri kujua ukweli. lisemwalo lipo haiwezekani wametunga tu haya mambo wakati mgumu huu kwa familia na marafiki wa hawa marehemu lakini ukweli sharti usemwe.

    ReplyDelete
  17. Aliyekufa Kenda zake Katutangulia Sisi tuko nyuma yake.wahenga walisema kifo ni kitendawili.kila mmoja atakuwa na sababu ya kifo hicho lakini mwenye kuijua ni aliyekufa na aliyeuwa na mungu wao muhimu sote tuwaombee wenzetu waliotangulia wafike salama na mungu awasamehe dhambi zao, kwani hiyo ni njia ya kila mmoja wetu hapa duniani.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI.

    ReplyDelete
  18. Acha ushamba watu mnaouliza kuwa walikuwa wezi wa magari, itakusaidia nini ukijua? labda wewe ndiyo mwizi sugu.Tuombee walazwe mahali pema peponi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...