msanii juma necha na kikosi chake cha wanaume wa tmk wakiwasili kwenye onesho
Please help make History and vote for Tanzanian Rap Artist: Juma Nature @ MTV EUROPE MUSIC AWARDS (African Act), to be held in Copenhagen, Denmark on November 17th, 2006. Feel free to forward this email to as many friends as possible.
Steps
1. http://ema.mtvbaseafrica.com/index.jhtml
2. Click on 'African Act' and then ' Click on Vote: Juma
Bomba sana Juma Nature na Crew nzima ya Wanaume TMK.
ReplyDeleteNaomba mwandishi kama shule haijapanda sana aaindike kwa kiswahili. one does not say "fell free" but "feel free".
ReplyDeleteAnony 7:46:46 hebu ona haya na donge lako la kijinga kwa Michuzi anayepata hits nyingi kuliko web yoyote Tanzania na kuchanganya na IPP MEDIA na DAR HOTWIRE. Kaandika wapi hiyo "fell free" nyie mlie tu. jamaa hamumuwezi, hata mumtafutie makosa gani, atapeta tuuuuuuuu!!!. Hahahaaaaa!
ReplyDeletemwendo mdundo sawasawa
ReplyDeletevotes nyingi tuu kwako Kamanda Nature.
michuzi lini SUOMI tunakusubiri Chelsea pale
Aliko.
Mabangi tu hayo
ReplyDeleteMnaokuja Denmark msisahau bendera zenu za bongo !
ReplyDeleteAbdul
jameni sasa huyu jamaa kweli acha hizo bang za kallio Aliko,
ReplyDeletewewe ni fara tu abdul,mimi navuta bangi tena za kallio chooni
ReplyDeletesalum boy tunakumiss,wasalimie masela wa uk,tutapata karatasi tu,eboo huku baridi mtindo mmoja school poa tu,ndombolo ya solo mama nabela bileku mpasi ai ai ai shika mugongo nikumbie
ReplyDelete