Home
Unlabelled
umachinga popote
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi uliona uchafu huo huku Stockholm ulivyokuja? Huko ni kama Bongo tu.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteSiyo tu unapiga picha na kuhitimisha kuwa huo ni umachinga sawa na wa Bongo. Ungemwuliza huyo jamaa anawezaje kufanya biashara hapo bila shaka ungetofautisha na Bongo
Kandoro akiona hii anaweza kumvamia jamaa kwenye monitor haha heh hahahahaa
ReplyDeleteUmachinga siku hizi ina maanisha Mfanyabiashara? Mbona una haribu lugha Michuzi? Mtu kama wewe ukishindwa kuendeleza kiswahili basi asili ya lugha yetu itapotea kabisa na vizazi vyetu kushindwa kutambua chimbuko letu. Nazidi kukuomba kwamba utumie lugha fasaha ya kiswahili na sio maneno ya mtahani ambayo ata mgeni wa nje akija kuona blog hii atashindwa kuelewa kiswahili na Watanzania.
ReplyDeleteWeye anony wa 11:47 acha uzushi wako. Umachinga una tatizo gani kama neno la kiswahili? Unajifanya unaijua nakuipenda lugha kumbe hakuna kitu. Kama unataka Kiswahili fasaha; 'Mtahani' ndio kitu gani? au 'ata mgeni' ndio Kiswahili fasaha hicho? Mtu mzima hovyoooo!!!
ReplyDeleteBongo hatuna mipango tunachofanya ni utawala wa kiimla tu. Lowasa anamadaraka basi anasema wamachinga waondoke kuanzia kesho!!!!
ReplyDeleteInasemekana huyu Lowasa anamaskendo mengi na ndio maana serikali inashindwa kushughurukia issue nyingi kwa sababu ikianza tu inagundua kuwa PM yumo ndani basi inabidi iache. Kwa mfano nasikia maeneo ya wazi mengi yamevamiwa na Lowasa!?