mlimani site sio pabaya. ila sema maduka mengine bado hayajafunguliwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. YES PAMETULIA !! TUNAHITAJI KAMA TISA HIVI ZA NAMNA HII,UMEME WA KUDUMU NA MAJI SALAMA NDIO NITAACHANA NA KAZI YANGU YA MABOX NIRUDI HOME NIFIKIRIE CHA KUFANYA.

    ReplyDelete
  2. Service zikiwa zinapatikana nje ya city centre itasaidia kupunguza mafoleni hayo, sio asubuhi magari yote yanaelekea Posta mpya na mengine Kariakoo, its real nightmare kwa jiji lenye watu zaidi ya mil 4.

    ReplyDelete
  3. anony 2:21 aisee ur ol' man must be really dissapointed with you, not only did he raise you but u also expect him to build tomorrows nation....mshamba unapenda slopu wewe....u continue na kazi yako ya maboxi bcoz ur kind we dont need in bongo...

    ReplyDelete
  4. Halafu mnataka watu warudi vijijini kuzalisha nani kasema? wakati kijijini duka moja tu la mpemba, lina kanga, malapa, unga na asabuni ya kipande. Wamachinga wakiona hivi ndio wanazidi kuja sijui wanadanganyana kwamba wataajiriwa humu? Kandoro kazi anayo

    ReplyDelete
  5. Mr Michuzi ukipata muda tunaomba utupigie picha za baadhi ya vitu vilivyomo humo madukani....natanguliza shukrani

    ReplyDelete
  6. Hawa wachache waliofungua haya maduka wamelenga, si unajua keshokutwa tarehe 18/11/06 ni Graduu!!! Kwa hiyo wameona kwanza watajitangaza kwa kiasi kikubwa, na watapata "mateja" oops, sorry, wateja wa haja. Si mnajua siku ya Graduu Dar es salaam huwa inafurika watu toka Kiborloni, Ngurdoto, Kashozi, Peramiho Songea, Njombe, Uyole na miji inayokua hufika kupongeza watoto wao? NB: Kama huna shughuli ya ulazima hiyo siku kaa nyumbani na gari lako na familia yako. HUWA KUNA FOLENI YA KUFA MTU!!Na ukitoka weka gari yako wese la maana sio nusu na robo!!!!!!!!!! Nagira.

    ReplyDelete
  7. Complex Bomba!, wasiwasi wangu ni kama mapato ya hii complex yatainufaisha Yu-Di-Zim. Hali ya chuo ni mbaya, tofauti kabisa na hii complex. Mabweni yana hali mbaya, Madarase hayatoshi. watu wanafanyia mitihani ktk Migahawa (Manzese, Sheraton na Yombo). Kuwa na urari wa mambo, otherwise ipo siku Vijana wataleta Kunji na kuvamia Komplex na kuleta vugrugu. tuliangalie hili pia....

    ReplyDelete
  8. Maduka makubwa kama hili ni ishara tu mojawapo ya utandawazi. Utandawazi ni kama treni moja kubwa inayosomba kila mtu duniani...wengine watapanda na kuondoka na wengine wataachwa. Kazi ipo kwa kila nchi, na kwa kila mtu: Uchangamke uondoke na train ya globalization au ikuache solemba. Ambacho huwezi kufanya ni kuisimamisha. Ukishaingia humo, kuna competition na collaboration globally....kazi kwako!

    ReplyDelete
  9. Sisi walala hoi vijini hatujengewi hivyo mabarabara mabovu wanao jengewa ni wasomi tu haya mambo mpaka lini tengenezeni mabarabara visima vya maji mahospitali n.k nyie mnasema maendeleo maendeleo gani Dar peke yake, hayo ni maendeleo ya Dar es salaam na sio maendeleo ya Nchi nzima hata mji mkuu wenyewe mbovu (DOM) ambao mpaka sasa hautambuliki kama mji mkuu wa TZ wewe ingia hata kwenye GOOGLE tafuta mji mkuu wa TZ utaona jina gani litatokea .mnawakumbuka wasomi tu

    ReplyDelete
  10. the place is really gud na inaonyesha jinc gani bongo tunavyoendelea bt one thing barabara!!!kimeo, the other thing kuna mshenzi m1 hapo juu anabeba mabox ugaibuni anaona deal sanaaa mshenzi mkubwa huyu wabongo 2meendelea kama pamba nk 2nafunika hapahapa dsm.

    ReplyDelete
  11. Ahh Kaka Michuzi naona umetoka bomba kama hiyo complex mpya. Tuchekie basi hapo kupangisha duka wanatoza sh ngapi na procedures zikoje

    ReplyDelete
  12. MICHUZI hivyo vitu ni kumi mia kwa moja halafu ni Dar peke yake wala hatutaki kujua tuonyeshe vijijini ambako ndiko kuna kazi za kuwalisha hao mno wajengea

    ReplyDelete
  13. Nafurahi sana kuona hapo pembeni Benki yangu ya CRDB imekuwa mojawapo ya benki za awali kabisa kuweka shughuli zake ndani ya Mlimani City Complex. Let us support CRDB kwani hii ni benki yetu kwa manufaa yetu. Hongereni sana.

    ReplyDelete
  14. Live long CRDB Bank, you are truly Tanzanian Bank! - Isaac, Dar es Salaam

    ReplyDelete
  15. hiyo sehemu kushoto ndiyo NBC nayo mbona haifagiliwi basi heh????

    ReplyDelete
  16. Anomy hapo juu. Kinachosomeka ni CRDB BANK sina uhakika kama hiyo mistari kushoto kama ilitosha kusema NBC. Lakini hata hivyo, hebu wadau wengine watueleze kule CANADA kuna benki ngapi za wakanada na benki ngapi za kigeni?
    Kumbuka mtu hufagilia kilicho chake!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...