dionis malinzi akimfukuza kaka yake, james, ili apate kupiga picha na athumani iddi machupa huko ukerewe. machupa alisikika akiwa sharjah kabla ya sie kumfuma akitafuta timu ukerewe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Tunasikia Machupa anafanya majaribio Newcastle United sijui kama nikweli labda Michuzi unaweza kutusaidia.

    ReplyDelete
  2. Michuzi mwambie huyo Athumani Machupa aje hapa Los Angeles maana ile timu anayohamia David Beckham ya LA Galaxy inafanya open tryouts kwa wachezaji soka. Open tryouts ni pale mtu yeyote anayedhani anajua kusakata Kabumbu au Soka anakwenda kujaribiwa bila ya kuwa na agent wala nini yaani unaenda wakikuona unafaa wanakusajili. Mwambie ajaribu aone itakuwaje.

    ReplyDelete
  3. mdau wa hapo juu upo LA?naomba tuwasiliane nipo orange county,cm yangu ni 949-2743892

    ReplyDelete
  4. MACHUPA NADHANI USHAURI WA MDAU HAPO JUU UMEUPATA. JARIBU MWANAGU LA GALAXY KWENYE HIZO OPEN TRYOUTS, HUJUI BAHATI YAKO ITAKUWAJE.

    ReplyDelete
  5. asante kwa hawa wadau wawili kuhusu machupa kujaribu Galax, nafikiri wengi wetu badala ya kukaa na kuandika matusi na mamboya sio na maana kwani nini tusitumie blogger ya bwana michuzi kueleza vitu vitakavyo saidia watu wengine nawapongeza hao wadau wawili.

    ReplyDelete
  6. Machupa jaribu kuja Oxford kuna kijana wa kibongo anapiga boli vizuri sana huku na former mmiliki wa timu ni mhindi toka bongo just jitambulishe watakucheck natumaini kama uko fit watakuchukua.gudluck.

    ReplyDelete
  7. Michuzi waambie mafundi wa blogu yako waondoe maneno ya Kiingereza "Post A Comment" badala yake waweke maneno "Andika maoni hapa". Kwanini waliamua kuweka maneno ya Kiingereza badala ya Kiswahili?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...