dah! ngoja niwahishe kwa fundi, maana nakosa mechi sasa. jamani eeee, ngapi ngapi huko????

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

 1. Liverpool 2:Chelsea0

  ReplyDelete
 2. michuzi its 2 to liverpool (kuyt and pennant) half time , second half ndo inaanza. chelsea nil

  ReplyDelete
 3. Liverpool 2-0 Chelsea. Kuyt dkk 4, Pennant dkk 18. Kipute bado kinaendelea...

  ReplyDelete
 4. Mzee, mpila umeisha. Bado 2-1. Ugaibuni!!!

  ReplyDelete
 5. Michu,
  Tumewalamba viwili kwa nunge ;-)

  ReplyDelete
 6. LIVERPOOL 2 CHELSEA 0

  ReplyDelete
 7. ahsante sana rafa, liverpool 2 chelsea 0. kesho 9 points gap. ahsante san rafa

  ReplyDelete
 8. we michuzi acha kuiba TV ya watu, wata kuwasha moto---njoo chukuwa kitu LCD 42" huku

  ReplyDelete
 9. Wewe anany hapo juu acha ujinga! Kesho lazima MU mdeki tu.Kakuna cha gepu la 9 wala nini.Lazima tuwashikishe dekio.

  ReplyDelete
 10. michuzi usingeonyesha Tv unayotumia bana, duh!

  ReplyDelete
 11. siku uki upgrade to lcd tupostie, ha ha ha !

  ReplyDelete
 12. Michu kwa kujibust!!

  ReplyDelete
 13. Nakuona mwanangu na TV yako ya mwaka 47, inabidi ukae karibu sana ili kuwaona wachezaji. Next ukienda majuu, update uchukue Panasonic Viera 50 inches (Plasma). Unaweza usitoke ndani kwa mwezi ili ule maraha ya chombo hicho, lakini bei mbaya.

  ReplyDelete
 14. toa tongotongo kwanza kabla hata ya kuwahisha hiyo tv...

  ReplyDelete
 15. warning barca nao wajitayarishe kufunga virago sisi watu wavikobe bwana.

  ReplyDelete
 16. mkojo umesukuma gogo !

  ReplyDelete
 17. Michuzi hapo inaonekana kama ni kwa kinyozi, vioo vingi..Lakini huwa unaonekana Newala,tukuy,ukerewe,qatar,n.k Mbona hurudi bongo na upudaiti ya Luninga???
  Qatar ni bei poa...

  ReplyDelete
 18. watu hawamwelewi michuzi, unajua kama mpiga picha anatumia sanaa kuchochea mjadala.

  si kweli kwamba hiyo ndiyo telly yake pekee.kama vile anavyosema english not reachable, anawazuga tu.

  anajua kuzungumza, kuandika na kusoma kiingereza huyu.na hiyo tv ni kanyanga.kama ana laptop atashindwa kuwa tv ya 28"?

  hongera michuzi kwa kuwachanganya wafuasi wako.

  ReplyDelete
 19. watu hawamwelewi michuzi, unajua kama mpiga picha anatumia sanaa kuchochea mjadala.

  si kweli kwamba hiyo ndiyo telly yake pekee.kama vile anavyosema english not reachable, anawazuga tu.

  anajua kuzungumza, kuandika na kusoma kiingereza huyu.na hiyo tv ni kanyanga.kama ana laptop atashindwa kuwa tv ya 28"?

  hongera michuzi kwa kuwachanganya wafuasi wako.

  ReplyDelete
 20. Kuwa na laptop ni big deal bongo ehe!!! Kwa hiyo laptop na TV vinaenda parallel??

  ReplyDelete
 21. Anon wa Sunday, January 21, 2007 10:40:20 PM, laptop Bongo ni deal lakini iko matawi ya juu kuliko TV. Laptop ya chee kabisa ni USD 450 wakati TV ya chee kabisa ni USD 50. Flat screen kama aliyobeba michuzi hapo ni around USD 120.

  ReplyDelete
 22. aaah!! michuzi wewe ni mzee au sura imekataa kwenye camera?

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...