akipiga pafu kabla ya kuingia dimbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Picha na kumbukumbu muhimu hizi Michuzi, hivi Bi. Kidude ana miaka mingapi sasa? Mara ya mwisho niliambiwa ana 83 sijui miaka 4 au 6 iliyopita!

    ReplyDelete
  2. Michuzi acha kuwatisha watoto na hizi picha..hebu ondoa hii manake ipo karibu halafu hamna meno..

    ReplyDelete
  3. BI KIDUDE KADATA,ANAKULA MCHE VILE VILE.

    ReplyDelete
  4. HIVI KAUNGUA USO? AU VIPI? ANATISHA KWAKWELI.

    ReplyDelete
  5. jamani mwacheni Bi kidude, hivi ikitoka ZABUNI YA KUMUOA bi kidude na muaji atapewa £2,000,000 si mtamkibilia nyie hasa mnaosema anasura mbaya ndio mtaenda hata Bagamoyo ili mshinde zabuni

    ReplyDelete
  6. Nadhani sasa hivi bi KIDUDE atakuwa na miaka takrikab 90 NA BADO ANADUNDA kama kawaida

    safi sana MICHUZI najua kuna watu humu wanataka picha za akina Yondo sista an REY SIII lakini nakuomba ukipata nafasi tembelea wale wazee wetu kule CLABU YA PAN kule Kariakooo bila kusahau SAIGONI siku kama ya kesho jumamosi maana ni sehemu unaweza kukutana na watu wengi ambao hawako kwenye mijitivii na mijigezeti lakini ni muhimu sana kwa nchi yetu

    natanguliza shukrani zangu za dhati

    ReplyDelete
  7. Kwa wale wanaotaka GREEN CARD za bongo paper hiyo toka kwa BI mkubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...