watoto wengine hupenda kumwonesha bibi michubuko yao na kupewa pole na mawaidha ya kupunguza utundu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Si ajabu kwa mtoto kulia anapochukuliwa na mtu asiyemjua au hata wakati mwingine kwa anayemjua, mbona huyu hapa hajalia basi?hebu wacheni kusema maneno mabaya kwa bibi wa watu!!Mwenyezi Mungu kamuumba kila mtu mzuri kwa jinsi alivyoona Yeye.Wewe ni nani hata uanze kumuumbua bibi wa watu kuwa eti ni mbaya???kumbuka hujafa hujaumbika!!ni hayo tu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...