TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

MKURUGENZI MSAIDIZI WA BUSARA PROMOTIONS



Taasisi ya Busara Promotions inapenda kutoa taarifa kwamba inapokea maombi ya kazi kwa nafasi iliyotajwa. Mwombaji anatakiwa awe mwenye mapenzi na ufahamu wa muziki wa aina mbalimbali hususan kutoka Afrika.

Waombaji wenye taaluma na uzoefu katika masuala ya uandaaji na usimamizi wa wasanii, maombi yao yatapewa kipaumbele. Vilevile mwombaji anatakiwa awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza lugha za kiswahili na kiingereza pamoja na ufahamu wa kompyuta.

Mwombaji atakayebahatika atakuwa na wajibu wa
kusaidia katika maandalizi na uendeshaji wa tamasha la Sauti za Busara na matukio mengine husika.

Tafadhali tuma maombi yako kabla ya tarehe 10 Aprili 2007 kwa
busara@zanlink.com au kwa mkono ofisi ya Busara Promotions iliyopo eneo la Shangani, katikati ya Africa House na hoteli ya Serena, au kwa sanduku la posta 3635, Zanzibar.
Kwa maelezo zaidi piga simu namba
0777 461911 au 024 223 2423 au tembelea tovuti ya
www.busaramusic.com



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Press Release

    FREE JOB ADVERTISING TRIAL ON WWW.KAZITANZANIA. COM

    Dar es Salaam, Tanzania, March 26th, 2007 – A new online job site, www.kazitanzania. com , is offering FREE job posting to employers in Tanzania.

    Now employers/companies can post as many jobs in the KaziTanzania. com as they wish. Any employer/company wishing to take this offer should do so before the last day of this offer on May 4th, 2007.

    The goal of KaziTanzania. com is to make recruitment as simple, fast and effective as possible by providing jobseekers with a free, comprehensive database of quality jobs and employers with an inexpensive, efficient way to recruit quality candidates.

    KaziTanzania. com is the right platform for employers to post their jobs because:

    It's cost effective — we offer competitive rates
    It's real time — we display jobs on the site immediately
    It's always open —post jobs or search candidates 24 hours a day, 365 days a year

    It's flexible — you have control over your information
    It's simple – we provide a convenient and easy way for employers to find the right candidate.
    Join KaziTanzania. com today and post your jobs for FREE before this advertising offer ends on May 4th, 2007.

    About KaziTanzania. com

    KaziTanzania. com is designed with one goal in mind: to help individuals find jobs in Tanzania and help the government, private firms and NGOs reach qualified candidates who are actively seeking employment.

    We also offer employers a range of services including training and consulting.



    Press Contact:

    Benito B. Lubazibwa

    KaziTanzania
    P.O Box 7674
    Dar es Salaam
    Tanzania

    ReplyDelete
  2. Wabongo wanapenda short cuts and cheap things/free things..Sa nyie watu wa busara, why dont yu post the job vacancy in newspapers? Matangazo bei ghali magazetini eey? Eeeh, ndo wenzenu wa magazeti wanavyo-make money.Ebo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...