kwa matangazo tu, siku hizi wabongo hatujambo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. SAA still runs core businesses at ATCL

    2007-03-24 09:50:04
    By David Mambo


    Despite the expiry of strategic business partnership contract between Air Tanzania Corporation Limited (ATCL) and South African Airways (SAA) in August last year, the latter was still entitled to profit dividends from the national flag carrier.

    The controversial revelation was given in Dar es Salaam on Wednesday by ATCL`s new Board Chairman Mustapha Nyang`anyi during the Airline`s latest Board of Directors meeting.

    The expired contract, he said, prohibits ATCL from operating its services by a hundred percent.

    He named areas where ATCL�s operations have been locked by the contract as those of maintenance, fuel procurement, information technology, revenue and company logo.

    ``We need to work under such contract circumstances for some months until when such terms of contract expire,� he said, adding that it will cost them a lot if they touch the heart of the company.

    ``From when the `marriage` between ATCL and SAA expired, we made a research which showed that Tanzanians were eagerly waiting to see their `National Flag Carrier` resume its operations as it used to be before. It is obvious that currently we can not use our own logo until when the existing one expires,`` he said.

    Minister for Infrastructure, Andrew Chenge was amazed at how ATCL managed to survive with only one aircraft with 300 workers serving it.

    He challenged the new management under its Chief Executive Officer, David Mataka to rationalize operations as well as acquiring more aircrafts.

    The members are Salmin Senga who is the Chief Secretary at the Ministry of Communication in the Revolutionary Government of Zanzibar, Dr. Kasungu who is an economist and consultant in the transport sector and Deo Nshunju and Carol Ngulukulu who are experienced staffs at ATCL Department of Planning.

    Others are Colonel Louis who has served as a high ranked military staff in the Department of Air services, Ambassador Ami Mpungwe, retired diplomat, veteran politician Paul Kimiti and former Minister and pilot Abdulkadir Mohamed.

    ReplyDelete
  2. Hayo matangazo yanachafua jiji tu. Yamejazana kila kona,jiji lazima liwe linapata posho ya maana kutokana na haya mabango uchwara. Kuhusu ATCL, mimi sishangai maana nchi inajua kuuza vitu bure hii.

    ReplyDelete
  3. Kuna wakati niliwahi kuandika kwa mapana na marefu katika blog hii juu ya nia ya uwekezaji uliofanywa na SAA ndani ya ATCL, ujanja uliotumika, athari zake na jinsi ya kukabiliana na hali iliyopo juu ya hatima ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania yaani ATCL.
    Ama hakika kovu lilopatiwa ATCL litachukuwa muda sana kufutika au ifanyike kitu kama 'plastic surgery' kuondoa kovu hilo. Aidha mikataba iliyowekwa na management iliyokuwa ya SAA katika dakika za mwisho-mwisho wakati wakijua hawatakuwa madarakani na kwa msaada wa Bodi iliyokuwepo hasa Mwenyekiti wake, leo hii inaifanya Bodi na menejimenti mpya zifanye kazi kati mazingira magumu sana na huenda baadae mambo yaharibike kabisa.
    Ninashauri, ikibidi ifanyike lolote linalowezekana kuinasua ATCL katika makucha ya SAA hadi sasa.
    Habari zaidi nilizonazo ni kuwa sasa SAA wanakwenda hadi KIA (Kilimanjaro Int. Airport), mbali na kwamba hapo nyuma walikwisha anza safari za moja kwa moja kati ya Johannesburg na Zanzibar. Kwa wale watakaokumbuka juu hili, ni kwamba SAA imekuwa ikitumia bila ya kizuizi au kikwazo taarifa za ndani za kibiashara za ATCL kwa kuihujumu. Nilieleza vilevile kuna mpango uliokuwa unafanywa na Mkurugenzi wa Biashara wa ATCL (South African) wa kuipatia ndege (aina ya F-28 ambayo hapo awali ilikodiwa na ATCL katika mkataba wenye utata)kampuni moja ya ndege iliyopo Zanzibar ili SAA iweze kuitumia kama mshirika wake wa kibiashara kwa nia tu ya kuihujumu ATCL. Kwa hiyo ni vyema Bodi na Menejimenti ziwe macho kuweza kubaini na kupambana na hali hiyo.
    Mbali ya hujuma hizo, juzi kupitia kituo cha televisheni cha ABC hapa Marekani, ilirushwa documentary ya 'Amazing Race'...pamoja na mambo mengine ilionyesha kwamba kusafiri na ATCL ni matatizo na badala yake usafiri wa uhakika ni wa SAA. Huu unawezakana ni mpango ulioandaliwa kuimaliza ATCL katika maeneo mengine, kwa mfano kwa kujipenyeza kupitia documentary hiyo. Ni watanzania wachache ambao wangeweza kuona na kutafakari juu ya athari za moja kwa moja zinazoweza kuupata uchumi wetu na kuzungumzia au kuhabarisha umma. Ni vyema wakati wote tusimame tupinge vitendo vyovyote vinavyohatarisha uchumi wetu na hili ndilo linalofanywa na nchi zote zilizoendelea kwa sasa hivi. Kwa mfano kama ilivyolaaniwa 'Sinema ya Mapanki' basi tusilale!

    ReplyDelete
  4. hiyo atc sipandi hata kwa dawa bora nipande basi, ndege za zamani ka benzi ya j nature zile zile toka niko vidudu nasikia huwa zinagoma a/c mara matairi yanapasuka, no no i like my life presicion wako partner na kenya airways rubani zao mbwembwe nyingi ila ndege zao kidogo mpya mpya

    ReplyDelete
  5. Mwe...hilo jiwe mbona kama dudu la mwanaume vile

    ReplyDelete
  6. Kama kimba vilee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...