Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2007

    This is good na hiyo color ilivyo bold ndio ikamalizia kabisa... I love it

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2007

    Warekebishe ile herufi E pale juu, mi vitu vidogo vidogo vinanikera, otherwise, good shot!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2007

    Nyie wote vichwa vizito. P. ACOCK Msizani michuzi katoa tu hivi hivi... P ni Penis na ACOCK pia ni Penis so ujumbe anaowapa watu wa PEACOCK HOTEL ni kuwa warekebishe vinginevyo hayo ni matusi. Safi sana bro michu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2007

    Nyie wote vichwa vizito. P. ACOCK Msizani michuzi katoa tu hivi hivi... P ni Penis na ACOCK pia ni Penis so ujumbe anaowapa watu wa PEACOCK HOTEL ni kuwa warekebishe vinginevyo hayo ni matusi. Safi sana bro michu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2007

    michu bwana! safi sana pia ni kazi ako kerekebisha makosa kama ulivyoamulia mahandakiiiizzz. thats good bro.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2007

    anony 9;43 acha dity mind kama wew umefikiri hivyo usilazimishe wengine waelewe hivyo. waachie watu waangalie picha na kila mtu ataelewa chake anachotaka. remember communication class okay.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 20, 2007

    wee anonny wa june 20,9;43 ndo bwege lililoenda shule tena huna akili kabisa,pambafuuuuuu!
    michu katoa hiyo picha akijaribu kuonyesha kwamba kuna herufi moja imekosekana katika hilo jina la hotel,sasa wewe umetoka wapy na hayo majina yako ya penis penis,wee sio mzima eeh!
    kama dictionary unayotumia ndo inakupa maana hizo basi kaitupe coz haikusaidii kitu,nyama weee!

    masanja mkandamizaji!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2007

    Jamani jina liko sawa ila kamera ya Michuzi ndiyo yenye matatizo ni mbovu. Flash yake imeshindwa kuona herufi ya katikati inayosemekana inakosekana.

    Michuzi acha ubahili kanunue kamera nzuri hako kakamera kabovu achana nako.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 22, 2007

    Mheshimiwa ISSA..TUNASHUKURU KWA LUGHA YA PICHA..HOTELI SAFI SANA HIYO NA WATALII/WATEJA WANAVUUTIWA SAANA KUPUMZIKA HAPO MALA...USIKUULE NAHISI ULISALIMIKA MZEE..AKSANTE..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...