mwanamuziki nyota wa bongo aishiye japani fresh jumbe na bendi yake ya the tanzanites wanatesa sana huko waliko kama picha zinavyoonesha. kwa habari zake zaidi na nyimbo bofya linki hapo chini


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

 1. AnonymousJune 30, 2007

  Kumbe Tanzanites bado wapo!

  ReplyDelete
 2. AnonymousJune 30, 2007

  Mjomba hawa sio wale tanzanites wa miaka ile. Wale jamaa watakuwa kwenye mid 50ties au zaidi. Naongelea wale wapare walioimba embe dodo mchangani. Ndo maana jamaa anajiita tanzanite Japan! Nikiwa majuu nitamsikiliza akija ila bongo na kwenye mchuma simuweki.....
  Blackmpingo

  ReplyDelete
 3. AnonymousJuly 01, 2007

  si nilisikia tanzanites baadhi yao walikufa kwa ngoma au inawezekana nachanganya.lile group lilikuwa la ngoma ngoma ivi walikuwa poa sana.

  ReplyDelete
 4. AnonymousJuly 01, 2007

  Huyo vipi huyo! Kwani si anajua huku Tanzania kuna bendi wanajiita The Tanzanites? Sasa nao wakipata ziara ya/mwaliko wa kwenda kupafom Japan itakuwaje sasa hapo?!

  ReplyDelete
 5. AnonymousJuly 02, 2007

  FRESH JUMBE TANGU LINI BAND YAKO INAITWA TANZANITE??? UNAJITAFUTIA MATATIZO MWENYEWE! HAO TANZANITE TUNAOWAJUA TANGU ENZI HIZO (Kapinga's, baba Walter, Betty & n,k) WASIJE WAKAWA WANAKUVUTIA PUMZI UKIWA KATIKATI YA MAFANIKIO WAKAKUBANDIKA NA MLAWSUIT UKAKOSA MWANA NA MAJI YA MOTO BCAREFUL! UNAKUWA KAMA HUISHI ULAYA

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...