rais wa global scouting bureau james gamble akiwa na mratibu wa gsb nchini afande (mstaafu) iddi kipingu, makamu wa rais wa gsb jack pemba na mratibu msaidizi wa kampuni hiyo ya kusaka vipaji vya michezo alipokuja nchini hivi majuzi kumwaga wino wa kuzindua rasmi shughuli za gsb ambazo zitahusu kujenga vituo vya mafunzo, kupeleka vijana nje kwa mafunzo zaidi na kugharamia gharama zingine kama ununuzi wa vifaa na kadhalika, mpango ambao umepata baraka zote na vyombo husika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2007

    hapo mlopoka hovyo(jamhuri kihwelo) anatafuta nini? kamponda maximo yeye na mzirai sasa wote wanaona aibu,
    kajumulo haikuwa hata kuwa bingwa,lakini jamaa anavyojitapa? sawa tunaikaribisha GSB japo nao maneno mengi kuliko vitendo,mara watapelka serengeti boys ulaya ,marahili,but naona kwa sasa wamedhamiria,na kwa jitihada zetu za sasa za kukuza kiwango,nawakaribisha kwa moyo mmoja,
    Kamtu-Chui/Paris

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2007

    Hapo watu wataongea tu bila chochote kufanyika, kama sijakosea mkataba waliousaini mwaka jana ulikuwa na vipengele kwamba hadi mwezi April mwaka huu wangekua wameshapeleka vijana baadhi kwenye majaribio Ulaya, mbona hamna kitu?

    Huyu Jack Pemba watu wanaomjua ukiwauliza watakwambia jinsi alivyo muongo, na anavyopenda sifa asizokuwa nazo, sasa sijui hizo ahadi zitatimizwa lini.....

    Huyu jamaa ni msanii wa siku nyingi na hajaacha na ninaona vinaanza kumtokea puani ahadi zote alizoweka.

    Mimi simuamni hata mara moja......

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2007

    Guys kajamaa kaongo tu, mbona kama dangany mambo mengi sana, Serengeti boys wako wapi? tapeli huyo....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2007

    They are just searching cheap popularity, hawana lolote jipya...........Soccer sio mchezo....Michuzi nakwambia wataondoka bila kuaga..........

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2007

    Duh! jamaa Julio kapigwa ngumi ya jicho au ndio Nairobi redi aizii? Hakuna kitu hapa njaa tupu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2007

    Michuzi vipi mbona comment zetu kuhusu huyu jamaa huzitoi watu wamjue au unamuogopa?.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 21, 2007

    Mambo vipi, mimi bwana ni mpenda michezo sana lakini nimesoma habari za huyu bwana Jacky Pemba simuamini hata kidogo hadith zake nyingi sana huyu jamaa tena ni msanii kupita kiasi sana sana naona siku ya mwisho atamdhalilisha mzee wa watu Bwana kipingu itabidi uwe macho na hao vijana ni wasanii sana.
    pili bwana jack Pemba kazi yako ya kutafuta sifa zisizo na sababu uache wewe umekuja hapa Tz kusaidia kuinua na kuvumbua vipaji sasa huu mtindo wako wa kuchukua vibint na kuvidanganya unaoa alafu ukisha vizalilisha unavibwaga si ustaarabu hata kidogo Sinza Block D ulicokifanya kwa mdogo wetu kujifanya unamchumbia alafu ukabadilika si busara na nimesikia umempiga juzi juzi mtoto wa watu eti kachelewa ulivyomuita aje kwako we bwana acha usanii fanya kilichokuleta alafu uende ulikokuwa UK sisi hapa hatuitaji ma-bouncer.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 21, 2007

    Alafu Julio acha mchezo wa kudandia watu hovyo hovyo kijana wengine ni wasanii ulianza na Kajumulo sasa Jack Pemba hao jamaa ni wasanii sana watakupotezea muda bureee...fikirimkwanza kabla ya kuamua.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2007

    Jack Pemba kijana bishoo sana wewe acha kuleta longo longo bongo fanya kweli watu waone sio hadith na kutafuta sifa kwenye majumba ya starehe kwani ndiyo kilicho kuleta kutoka ulikokuwa?.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 21, 2007

    Namhurumia sana mzee wangu Kipingu kwani hao vijana watamvisha mkenge halafu aangushe P lote ambalo Watanzania wamempa kwa kulea vipaji achilia mbali nafasi mbali mbali alizowahishika.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 21, 2007

    huyu bwana mwenye macho mekundu amekaa kijambazijambazi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 21, 2007

    michuzi we fala tu mbona maoni yetu hatuyaoni

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 21, 2007

    Jack Pemba, a known and self-confessed liar, a former drug dealer btn Tanzania and South Africa, also a former Kinondoni Muslim Secondary School student.

    He uses his ability to speak good english to disguise his illiteracy and dubious dealings.

    His English wife (who is the reason he became a British citizen and the source of his few theousand pounds he has) is looking after his baby while Jack is enjoying life with other women.

    It is not clearly known how how he became involved in football affairs in England.

    Ni mtu anayependa sifa sana na hujisifia kwa kila kitu alichonacho. Na siku zote anataka aonekane yeye ndiye zaidi kuanzia kwenye hela, mavazi, magari, perfume etc, plus looks which he's not blessed in that department.

    ingawa wanasema elimu sio kitu, lakini nafikri kuishia form four Kinondoni Muslim kumechangia pia kumfanya awe na tabia fulani ya kutaka kujikweza asikoweza kufikia na kuwa mfinyu wa upeo kuona mbali, mfano uongo wa kuileta Serengeti Boys UK, na mikataba mingine, kwa ufupi haoni mbele, he's very myopic in his vision, interms of pledges he makes and its eventual consenquences.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 21, 2007

    Anon wa 2:34 PM EAT ukitaka michu ayaweke maoni yako ya kumuhusu huyo jamaa mwenye macho mekundu we yaweke yote halafu mwisho malizia na hayo maneno manne ya mwanzo ya kwenye sentensi yako, hapo Michu lazima atayatoa. Ili wadau wakushambulie lakini maoni yako yatakuwa hewani. Hivi ni maoni gani uliyoweka akayapiga chini wakati hayo hapo juu makali kayatoa?, hebu yatype tena na ufuate ushauri wangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...