dar hapatoshi leo. msikie mdau anavyosema hapa...
Kaka michuzi nipo baclays house ghorofa ya pili dirishani, hivi nnavoandika ni kwamba mamia ya wananchi wanaandama kwa furaha kwenda ikulu, nadhani labda kwenda kumpongeza JK,kwakweli wamehelewa na furaha kuu ya kuachana na ile dhana ya kichwa cha mwendawazimu.Watu ni wengi kwa kweli!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    Muhtasari:

    1913GMT: Burkina Faso score from an offside position and the referee rightly disallows the goal.

    1920GMT: Burkina Faso defender Moussa Ouatara is sent for head butting Amir Maftah.

    1920GMT: Tanzania should now take advantage of their numerical strength to impose themselves on the game.

    1922GMT: Disaster for Tanzania as Nsajigwa also receives his marching orders for attacking a Burkinabe player. Tempers are flaring here as Tanzania's Brazilian coach Marcio Maximo is also sent-off for complaining over the referee's decision.

    1934GMT: GOAL! Burkina Faso 0-1 Tanzania Henry Joseph beats the offside trap and cleverly chips the ball over the advancing keeper.

    2007GMT: FULL TIME Burkina Faso 0-1 Tanzania Tanzania temporarily go top of Group 7 by this victory in Ouagadougou. Tanzania are, however, likely to lose top spot to Senegal when the Teranga Lions play Mozambique tomorrow.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2007

    Hongera Stars.Lakini wananchi wanakwenda Ikulu kufanya nini?Yaani juzi tu wameumizwa kwenye bajeti lakini wameshasahau kiama kinachokuja kuanzia Julai Mosi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2007

    Yaani kaka michu huku sinza shangwe za kufa mtu! Tuzidi kuomba Mungu kesho Senegal wapigwe bao!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2007

    sasa hapo watu ndio wanapokosea, sio kila JK tu. Msifuni mwalimu na timu nzima. Maandamano kwenda ikulu hayana msingi. Je wangefungwa? Mngemulaumu JK, na kuandamana kwenda iikulu? Mwachane JK aongoze nchi, manake karibia inaanza kumshinda

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2007

    Michu, weka hii:
    Tunaongoza kwa sasa

    2008 Nations Cup Group 7
    P W D L GF GA Pts
    Tanzania 5 2 2 1 4 6 8
    Senegal 4 2 1 1 6 2 7
    Mozambique 4 1 2 1 4 4 5
    Burkina Faso 5 1 1 3 4 7 4

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2007

    kima hesabu naomba senegal ishinde mechi yao na msumbiji kwani tutahitaji sare tu mechi yetu na msumbiji.HONGERA SANA JK BOYS

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 17, 2007

    kama ni hivyo JK anafaa kuwa waziri wa michezo na si rais wa nchi maana uchumi unazidi kuporomoka na wabongo milivyo wajinga anawadanganya kwa mpira! muone liberia walimkataa weah! hatuwezi kula mpira! wajinga ndiyo waliwao.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 17, 2007

    sipendi stars iitwe jk boys, ni timu ya taifa si ya rais au mtu binafsi acheni kujipendekeza kwa rais wakati maisha yanazidi magumu na bajeti ya maumivu mwk huu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 17, 2007

    Kweli sio kila kitu, JK... Lakini naomba nizungumzie jambo moja la budget, Watanzania acheni uvivu wa kufikiria JK anawezaje kuleta uchumi mzuri kama hamfanyi kazi,,, maendeleo hayawezi kuja kwa kutofanya kazi alafu mkadhani kuna mtu atatengeneza budget nzuri, mimi hapa namiliki gari lakini naipongeza serikali kwani ikiiendelea kuendesha siasa nchi itazama, nataka budget aggressive kama hiyo kwa miaka mitano.... after that tutaona mabadiliko Challenge kwa serikali ya sasa ni kuexpand tax base basi... lakini mpaka hapa poa, JK aache kudanyika na popularity watu hawa hawa ambao wanalia kupigwa kodi ndio hao hao watasema hujafanya kitu baada ya miaka mitano, kwa hivyo vyema uwapige kodi lakini barabara zijengwe na wanachi wawe na afya pamoja na elimu... ulichaguliwa kwa kipindi cha miaka mitano sio single financial year...

    Ni Tanzania watu wanapenda wafanyiwe sio waifanyie nini serikali... JK this is good start... ziba masikio ulete maendeleo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 17, 2007

    Duh,hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa watanzania. Mnaandamana kwenda ikulu kufanya nini? Tuwapongeze vijana na mwalimu kwa kazi nzuri ila JK na wanamtandao wake wanataka kutupiga changa la macho tusahau ahadi za MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA maana sasa ishakuwa BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA (ili mradi mkono uende kinywani tu ukalale) except kwa wanamtandao na JK's family.
    JK tekeleza ahadi siyo kujificha mgongoni mwa taifa stars na mpira kwa ujumla.Honeymoon ilishaisha siku nyingi tu lakini bado mambo hayaendi. Discipline ya matumizi hakuna bado unachota hazina ya awamu ya tatu.
    Msilewe watanzania,tushangilie huku tukidai mafanikio kama haya ya Taifa Stars kwenye maisha ya kila mmoja wetu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 17, 2007

    Yahani mnamsifu jk kwaajili ya mpira wakati maisha yanakuwa magumu. Mimi sielewi Mpira ndio utatufanya maisha yawe rahisi au niaje?, nisaidieni.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2007

    Jamani mimi kuna wakati vitu vinanikera mpaka basi? Sasa wanaandamana kuelekea Ikulu kufanya nini kwa mfano??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...