kila kona ya dar leo na jana ilikuwa gumzo juu ya msiba wa amina. hapa ni katika kijiwe cha fundi mussa pale empressi leo. aidha nawasihi wadau nihitimishe kwa posti hii kwani inabidi maisha yaendelee maana hata tulie vipi kipenzi cha wengi marehemu amina chifupa ndo ameshatutoka. nitaweka habari na picha zinazomhusu kwa kadri zitavyopatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2007

    Michuzi,
    I salute u 4 that statement.

    LIFE MUST GO ON.

    Amina Lived her life and wa are all witness of the rspect being poured to her after her death.
    Mazuri yake yaendelezwe, mapungufu yake yakemewe kwa wale wanaolekea kuyaiga.
    hakuna binadamu aliye kamili, making few mistakes is part and parcel of the thing called LIFE.

    Michuzi,
    tuendelee na utaratibu wetu wa picha za wadau. Nadhani hapo utakuwa umetufariji wadau wako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2007

    NI KWELI KAMA UNAVYOSEMA LIFE MUST GO ON. VIJUWE VYA BONGO VITAKUA VINGI TU NA KILA KIMOJA KILA JAMBO LAKE. HIZI TX MSGS TUNAZOZIPATA KILA MTU AMAKUELEZA LAKE.

    ILA PAMOJA NA KUWA LIFE MUST GO ON PIA USIWAKATAZE WATU KUGREAF. KILA MTU AN NJIA YAKE YA KUOMBOLEZA. WENGINE WATALIA, WENGINE WATAANDIKA NA WENGINE WATALAUMU YOTE NI NJIA MOJAWAPO YA KUGREAF.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2007

    we michuzi huna lolote mnafiki MKUMA WA MAMA YA KO MZEE.washakuziba mdomo we mwenyewe upo kwenye sistimu kwa hiyo ni mbwa wa bosi tu,michango ya maana huweki unaweka michango ya mikundu wenzako ambao washalizika na maisha ya kuoneana kwa sababu labda baba waziri ama mama yuko kwenye post fulani najua hii hutoweka lakini utaisoma.MKUNDU WAKO.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2007

    hako kajamaa kafupi kushoto kwenye picha kalikovaa suti kanaonekana kametokea iringa ni kaofisa Elimu kamekuja mjini kwenye semina na kamefikia Guest house Sinza

    ReplyDelete
  5. Jamani, ustaarabu utumike wakati wa kutoa maoni katika ukurasa huu. Ieleweke Michuzi anajitoa kutuletea habari hizi na tunastahili kumpa moyo badala ya kumkatisha tamaa na maoni ya kihuni.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 29, 2007

    Issa,pole kwa kutukanwa matusi ya nguoni.usijali zote hizo zichukulie kama professional hazards.we endeleza libeneke tu,we fully support your work and appreciate it.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 29, 2007

    Pole Mzee, kwa kukatishwa tamaa na watu wachache wasio na dira. Binafsi nakupongeza kwa kazi yako nzuri sana ya kutuhabarisha kwa njia ya picha na taarifa kadha wa kadha. Keep it up Comrade. Ni kweli kila jambo lina majira yake, tuache(kama sio kupunguza) kuomboleza sasa, tuiweke nguvu yetu katika kuyaendeleza yale mazuri aliyoyaanzisha Amina.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 29, 2007

    ...Bro Michu Ignore the fool kazi yako tumeikubali,hiyo mitusi usijali maana ushakuwa public figure na lazima ujue sio kila mtu anafurahia kazi yako na kwa kupost unaonesha jinsi ulivyo mature na tayari kupokea makombora pande zote...hongera sana!

    ReplyDelete
  9. Issa funga hii blog upumzike. kwa kazi nzuri unayofanya popote duniani watanzania wanapata up to date infos lakini kumbe baadhi ya watanzania hawana jema, kumbukeni mtu anae mtukana mama wa mwenzie ajue kesha mtukana mama yake pia maana kila mtu katoka kwa mama. Kwa mwendo huu tutabaki nyuma ya waafrika wote, wenzetu walisha elewa lkn sisi bado tuko very very down!inasikitisha

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 29, 2007

    Huyo aliyemtukana Michuzi lazima atakuwa na sifa zifuatazo;
    - Ana Makengeza
    - Ana Vinywelea puani
    - Ananuka kikwapa na Mdomo muda wote
    - ni Mfupi ki-urefu

    in short, huyo aliyeandika huo upuuzi ana-frustrations zake za maisha. Michuzi ni kwamba umempa nafasi ya kutolea pumzi tu!.
    Spika alishatufundisha, tuwasamehe. ni watoto, wakikua wataacha. wanahitaji ushauri nasaha kwa sasa more than anything

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 29, 2007

    Pole kakangu Michu. Wala usifunge blogu yetu kama anavyokushauri Waridi hapo juu.. Halafu Waridi, ila samahani kama nitakukwaza, naonaga unalitumia neno DOWN vibaya, kama hapo juu, ukimaanisha Watanzania tupo chini, its wrong, it not the right word to use kwa ulichotaka kukimaanisha. Wadau msaidieni Waridi na neno linalostahili. Just mtazamo. Ciao

    ReplyDelete
  12. Anon nilidhani una neno sahihi kumbe na wewe hujui basi unaonaje tuache tu hilo down mpaka hapo tutakapo saidiwa na wadau ka ulivyo omba au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...