THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

magazeti leo na ujumbe wa tgnp
haya ni baadhi ya magazeti ya leo na chini ni ujumbe toka kwa mtandao wa jinsia

TANZANIA GENDER NETWORKING PROGRAMME (TGNP)
SAFE JOURNEY AMINA, THE STRUGGLE CONTINUES


TGNP wishes to express our deep sorrow and concern at the sudden and untimely death of Hon. Amina Chifupa [MP Special Seats-Vijana].


We admire Amina’s assertiveness, flamboyance, daring and passion; her willingness to flaunt convention and patriarchal norms. How many other women Parliamentarians were willing to challenge the patriarchy, be it in matters of dress, decorum or state patriarchal ideology? And how many men and women MPs defended Amina publicly when she was criticized for doing so? How do we strengthen a culture which invites diversity, innovation and alternative thinking and behaviour?


We admire Amina’s courageous stand on controversial issues, her dedication to the struggle against corruption and drug trafficking. Amina spoke out in public without fear of consequences, and is a role model for other women – and men – to emulate. What kind of support system exists to nurture and provide solidarity for such women, especially youth, in elected and top leadership positions?


We admire Amina’s ambition. Imagine, this beautiful young woman, deciding to run for Parliament – and succeeding! Next, deciding to compete for the top leadership of youth in the ruling party – who knows how far she would have gone if she had lived longer?


We admire Amina’s commitment to young women and men, her compassion for orphans and other vulnerable groups, and her eagerness to learn. Amina continually took advantage of learning opportunities that came her way, sought out information about key policy issues and applied that information in her work as a Member of Parliament. She could be counted on to raise critical questions about health, education, employment, youth, drug abuse and other issues which are of particular significance for young people – and indeed, all citizens.


May God rest your soul in peace, Amina.

The struggle continues.

Usu Mallya

Executive Director, TGNPKuna Maoni 13 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Mbona TAMWA hawajatoa statement?

 2. Anonymous Anasema:
  This comment has been removed by a blog administrator.
 3. Anonymous Anasema:

  Ungeandika tu kiswahili watanzania wote tukaelewa, huu ni msiba wetu sio wa wageni. Jamani!!
  Amina pumzika dada.

 4. Anonymous Anasema:

  Ndio tatizo la Watanzania Wasomi Uchwara ambao hawachelewi kujikweza na kingereza hata kama wakati mwingine jambo halina haja ya kuandikwa kwa kingereza. Mnaboa sana. Ikifika muda mkiambiwa muongee kingereza hicho mnachokiandika mnakuwa na accent nzito utafikiri Wapopo

 5. Anonymous Anasema:

  Hizo ni salamu za Zitto kupitia TGNP. Michuzi, mbona unabana maoni yangu kila nikitaja Jina Zitto? Nina malengo mazuri tu na kijana wetu huyu mbunge. Kama kweli alimuheshimu Amina kama alivyosema i.e kutokana na msimamo wake, then angesimamia kidete autopsy ifanyike. Kama naeleweka vizuri msemo wa kiswahili unasema:ukiona mwenzako kanyolewa, za kwako anza kutia maji.

 6. Anonymous Anasema:

  wallah duniani humu sijawahi kuona wanafiki kama hawa TGNP!kila siku wimbo wao eti ni kumtetea mwanamke.wadau mnamkumbuka yule mama jasiri aliyejitokeza kugombea urais 2005?jina limenitoka. mbona hao TGNP pamoja na kujitia kusapoti cause za kina mama hata sumni hawakumpa,ok hata moral support?yote tisa majuzi marehemu Amina kadhalilishwa na mumewe kwenye magazeti eti kamtwanga talaka kwa umalaya,did you TGNP lift your finger to defend her?leo mnajitia kumlilia,acheni hizo.na wewe zitto kabwe acha kujishaua,jana Tanzania Daima ndo uliandika nini?,na huo mpicha front page leo Tanzania Daima wa nini?mara oh dakika za mwisho Amina alinipigia simu,anakupigia wewe kama nani?kwa nini asimpigie baba watoto wake,mama au baba yake,acha upuuzi kama ulimkandamiza hayo ya kwako,kaa kimya,after all kutembea na mke wa mtu sio ushujaa ni ubazazi tu.

 7. Anonymous Anasema:

  "Mission complete",kupongezana ruksa japo kimya kimya.Haya we!

 8. Anonymous Anasema:

  ISSA???? MBONA HUJATULETEA PICHA ZA KUTOSHA ZA MSIBA NA MAZISHI YA MPENDWA AMINA JAMANI? KULIKONI??? FANYA FANYA BASI NASI AMBAO HATUKUPATA NAFASI YA KUWA HUKO TUWEZE KUFARIJIKA NA HIZO PICHA ANGALAU. TAFADHALI MKUU - NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI!!!!

 9. Mtimkavu Anasema:

  Tatizo la wabongo tukisikia jambo tunalivalia njuga. Anon wa 9:09 AM EAT Naungana na wewe katika kuwalaumu TGNP Ila kuingiza suala la zitto umechangaya chumvi na Sukari,

  Mi sioni kama kuna ubaya kwa mtu kuandika yale ambayo yeye binafsi anayajua toka kwa marehemu mpendwa wetu Amina. Kumbuka bungeni ni kama wanafunzi darasani lazima mtajuana kitabia na hata kiuwezo wa uchambuzi. Wanafunzi Darasani wanajuana nani ni mahili wa kujibu na kujenga hoja.

  Sasa kwa zitto ambaye marehemu alikuwa classmate (Mbunge mwenzake) ana haki ya kueleza kama ambavyo mbunge yeyote au mtu yeyote anaweza sema ambaye amefanya kazi au kuwa karibu na marehemu.

  Huu sio wakati wa tuhuma ni wakati wa maombolezo na kuwafariji watanzania kwa kuondokewa na kipenzi chao. Ni nani asiyejua kuwa darasani watu wakiwa wanasaidiana na kusoma pamoja hasa kama ni jinsia tofauti watu lazima wasema wanayoona yanastahili, lakini mwisho wa siku anayejua yote ni hawa wanaosaidiana class. Tusiendekeze maneno ya kusikia kwani katika darasa (i.e Bunge) wanafunzi ni wengi na wana tabia na maono tofauti na ndio maana kuna wengine wanajibu na kuuliza maswali kila siku wakati wengine wakiwa waoga na kuonekana vilaza. Watu hawa Lazima wahisi tofauti kulingana na fikra zao zinavyowatuma.

  Kumbuka shuleni kama kuna msichana au mvulana unahitaji kuwa nae karibu lakini kuna jamaa analeta kauzibe lazima utatafuta mbinu ya kummaliza hata kuandika kibarua na kukiweka kwenye daftari la mmbaya wako ili akilikusanya lika sahihishwe mwalimu atakiona na kuwapiga marufuku kuwa karibu darasani. Au nani hajui huu ndio ukweli. Ila mwisho wa siku ni wao ndio wanajua nini kinaendelea kati yao.

  Sasa basi tuombe mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, na mwenye kuguswa zaidi ana uhuru wa kuandika yale ayajuayo kuhusu mpendwa wetu.

  RIP, Amina

 10. Anonymous Anasema:

  SHAME SHAME ON YOU TGNP! Kama mnategemea wazungu support ime kwisha You are the worst organization when it comes to support women. You remianed silent when JK was running and dic Mama Mongela.
  Waiting for Mama Migiro to run forget about it.What partriachal system are you complaining about.
  kwisha kabisa TGNP.
  Causes zenu zote to impress wazungus mna fanya vitu wazungu wako supportini.

 11. Anonymous Anasema:

  ndugu yangu mti mkavu,mi ndo anon wa 9:09 hapo juu,kwa kweli kunradhi kama nimekukwaza lakini nilikuwa na usongo na zitto kabwe nikaona nimpe vipande vyake,kaniboa stiff,ukilamba muwaifu wa mtu si unaminya tu?

 12. Kichwabuta Anasema:

  WE MISUPU MBONA NILIPOSTI UJUMBE WANGU KUWAHUSU HAO JAMAA WAWILI WALIOKUMBATIANA HAPO JUU NA HAUJAIPOSTI ????? AU ILIKUBOA NINI ??? FUNGA BASI HII BLOG YAKO KAMA HUTAKI MAONI YA WADAU !!!! ACHA HIZO !! MBONA UNAONEKANA MTOTO WA MJINI KUMBE SIO !!! SHAME ON YOU !! You should no be desolated with unscrupulous, ill-natured behaviour as you are always being adviced!!!

 13. SIKUJUA Anasema:

  MICHUZI!!!!!!!!!
  MZEE HAMIS CHIFUPA AMENISHANGAZA NA KUNISIKITISHA LOH! MASIKINI AMEJITANGAZA MWENYEWE KUMUUA BINTIE KWA KUMPELEKA KWA AKINA SANGOMA LOH! KWISHA KAZI BABA HAKUNA CHA ULAJI WA JINA LA AMINA KUUNDA FOUNDATION WALA NINI UTAKULA JEURI YAKO. TABIA MBAYA
  HUJAWAHI SIKIA MTOTO WA SIKU MOJA KUWA NA KISUKARI, HUJAWAHI KUSIKIA DEPRESSION ELIMU NI MUHIMU JAMANI MADAKITARI WA SAIKOLOJIA AKINA DR. MCHOMVU TUSAIDIENI KWENYE HILI WENGI WANAUWA NDUGU ZAO KWA IMANI POTOFU.

  MICHUZI NAOMBA UFAFANUZI KIDOGO
  HUYU MZEE ANAITWA HAMIS GABRIEL CHIFUPA MKE JUDILIET ....MMBAGA MMH!! NI NINI KIPO HAPO 2 IMANI ZA KIDINI AU ... SAMAHANI HAYANIHUSU ILA HAKUNA LINALONISIKITISHA KAMA IMANI ZA KIENYEJI KWA DADA YETU MPENDWA AMINA ANGALI WAKIJUA KUWA AMEPATA DEPRESSION YA KUACHAN NA MPENZI MUMEWE MPAKANJIA WALIOPENDA KUNONYESHA MALOVE YAO HADHARANI LEO SHIGONGO ANATANGAZA YASIO MUHUSU HADHANI NINI ZAIDI YA MARADHI KAMA HAYA
  BYE