'presha' ambao ni wimbo ulioimbwa na hafsa kazinja akimshirikisha banana zorro ni kibao ambacho kimetokea kuwika sana bongo kwa sasa. hebu kisikilize kwa kubofya hapaHafsa ft Banana Zorro - Pressure - http://www.jambovideo.com/2007/06/11/hafsa-ft-banana-zorro-pressure/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2007

    Nao wamezidi sasa kwani hawawezi kuwa na mike mbili kila mmoja akashika yake mpaka washee hiyo moja?
    Bibi yake Banana na Bwana wake huyo Hafsa sasa hivi watazua ZOGO tu hivi karibuni, nyie subirini tu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2007

    Nyimbo yao ni nzuri sana nimeipenda, pia ninaamini mwanamuziki kama Banana anawezakufanya mambo makubwa tu katika ulimwengu wa muziki tatizo mitazamo yake sijui iko vipi kuhusu kuvusha kazi yake nje ya nchi. Historia inaonyesha mapromota wa kibongo hawana ujanja sana katika medani za kimataifa, fikiria hilo Banana...!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2007

    Watu wa wabaya sana! Walizusha hawa watu hawapatani siku hizi na wanawindana vibaya sana,hata salamu hamna!Mbona naona kama siyo?? Pressure Pressure ya nini.. Mwawasema sema kwa nini!!

    Lee

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2007

    hakika banana anakipaji bwana nampa respect katika wanamuziki vijana wa tanzania banana ni unique wewe jaribu sikiliza vocals zake anavyopanga na anvyoimba ,zikilza bridges zake na ntiririko mzima wa uimbaji na mziki wake you can tell kijana anauwezo mkubwa sana wa kimuziki katika kiwango kinachokubalika kimataifa
    banana achana na mapromota wababaishaji wa bongo ebu cheki kivyakovyako na WOMAD au hata PUTUMAYO hizi ni lebels au distributors wa kubwa hapa duniani wa mziki unaoitwa WORLD MUSIC ambao hata uo wako pia unfit kwenye hiyo category unaweza ukasimama kidete na majina ya akina mtukudzi na wengine wengi tuu big up and try out these two distributors

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2007

    wala hawajakosaana mineno ya watu..kweli annoy hapo juu huyo bibi wa banana ambaya ni ZAITUNI WALELE sister dread white,WA MTONI KIJICHI na huyo MR wa Hafsa lazima waje juu mambo ya mic moja...haya kazi kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...