JK BOYZ WAMEPENDEZA HAWAJAPENDEZAAAAAA....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    ni rahaa tu leo oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    YANANI LEO COMMENTS NAZO ZIPO HURU HAZICHUKUI MUDA KUFIKA RAHA SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2007

    utamu zaidi ni pale watani zetu wa jadi wafuata nyayo wanapoendekeza uteja kwa eritrea.. aaaaah si tunajidunga tu asa hivi. na kwa taarifa yako mechi ya kesho msumbj nimeshaanza kuinywea

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2007

    Yaani leo ni raha tupu, kama mdau wa hapo juu ulivyosema hadi Michuzi kaachia milango wazi, furaha hadi kwenye message (Special for to night/day)

    GAZ

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2007

    Pamoja na Furaha, mimi kwa maoni yangu kuna wachezaji kwa sasa hawana jipya nao ni Shadrack na SMG.

    Otherwise tujiandae na mchezo unaokuja, hata hivyo naomba Msumbiji wamfunge Senegal au maana Senegal akikutana na Bukina atamplamba tu... Naomba kutoa hoja

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2007

    Mmmmh leo comments zinaingia tu bila kuzuiwa....nahisi Michuzi yupo mtaani anasheherekea.

    Wadau Tanzania hivi tulishawahi kushinda kwenye ardhi ya West Africa? Wanahistoria wa michezo naomba mnihabarishe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2007

    Wadau kwa vyovyote vile kama tukijaaliwa kufika Ghana na tukicheza mechi zisizopungua tatu,,, Henry Joseph hata rudi na ndege itakayokuwa imewapeleka huku!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2007

    mwambiene huyo mbrazil amuongeze pawasa haraka sana,kutokana na pengo la costa,sijafurahishwa na defence.ila maximo nimemkubali kwa saikologia yupo sawa,wachezaji wameiva kisaikologia kwa 100%

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 16, 2007

    Kumbe itiiz tru uwezo tunao, nia tunayo TZ 1 - BF 0. Next !!!!!!!!.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 16, 2007

    Siku kama ya leo ndio inanifanya nikumbuke hasa na nitamani kuwa home (bongo). Hapa saizi washkaji karibu wote walionizunguka wala hata hawajui kama kulikuwa na mechi.
    Leo kwa kweli Kilimanjaro zingenikoma---basi itabidi nijidunge na Heineken au budwiser mala nimalizapo kumtumikia mzungu hapa job.
    Michuzi na Mjengwa hongera zenu kwa maana mnatunganisha na bongo na data za bongo kiasi ya kwamba inasaidia kufuta upweke tulionao.
    kj-204

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 17, 2007

    Huu ndio ushindi wa kwanza kwa timu ya taifa ya Tanganyika,Zenji na Tanzania huko Afrika Magharibi.Vijana wanastahili pongezi za hali ya juu.Yaani nina raha leo ila msije kunikopa tu,washenzi nyie!!.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 17, 2007

    Huenda michuzi ameenda mitaa ya magogoni kutuletea photos mpya maana mechi hii ingechezwa milango ya jioni saa za EAT,,, ajali zingetokea nyingi sana hapa Dasalama

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 17, 2007

    Safi sana ila tujipange manake tusije eenda tolewa kule Ghana

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 17, 2007

    Weweeeeeee, Uwiiiiiiiiiiii, yahayahayahayaha, hihihihiihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ndiooooooooooooooooo, tihitithiiiiiiiiiiiiiiii, nimezimia jamani....hakuna mtu hapa nitajizinduaje?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 17, 2007

    Jk boyz oyeeeeeeee

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 17, 2007

    Michu, weka hii:
    Tunaongoza kwa sasa.

    2008 Nations Cup Group 7
    P W D L GF GA Pts
    Tanzania 5 2 2 1 4 6 8
    Senegal 4 2 1 1 6 2 7
    Mozambique 4 1 2 1 4 4 5
    Burkina Faso 5 1 1 3 4 7 4

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 17, 2007

    oya oya oya oyaaaaaaaaaaaaaaaa!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 17, 2007

    kwa kweli wamependezaaa yaani mimi nipo ughaibuni ila kusema kweli JK boyz leo mmenipa raha sana natamani ningekuwa bongo nishuhudie mapokezi kesho michuzi big up leo nimeshinda kwenye blog yako napata rahaaaa tu Tz hoyeee, Jk oyeeee,Maximo oyeeeee
    Mmichuzi tunaomba kesho wanaporudi utupe mapokezi yao

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 17, 2007

    Jamani hapa Washington DC, ni furaha tu, mimi sasa hivi ndiyo kwanza nimetoka Safari Restaurant hii ni ya Wakenya, wenzetu vichwa chini sisi furaha tupu... JK Boys hongereni sana. Lakini mechi ijayo ni ngumu sana, nadhani wanafadhili bado wana mipango ya kuwapeleka Ulaya kwa mazoezi.... very Maximo amepewa kadi, lakini tumtumie yule wa Vijana..... Jamani Ghana lazima twende...

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 17, 2007

    I HATE THE NAME JK BOYZ....SHOULD BE TAIFA STAR PERIOD....

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 18, 2007

    ur ryt anony of june 17,10;28
    ts shuld be taifa starz period n nat jk boyz coz this z a national team n nat kikwetez team,cum on Tanzanians dont be stupid,this team was there b4 kikwete to become the president so jst col t taifa starz,they do luk gud in their white outfit n may God bless u thru out

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...