vijana wa zenji wakicheza mchezo wa chesi ambao unaenea kwa kasi visiwani humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Aaa, Kaka Michu, hao wanacheza drafti kwa kutumia chesi - ebu angalia uzuri - ama hujui chesi inachezwa vipi weye?

    ReplyDelete
  2. lazy people,ukiona hivyo ina maana hakuna kazi watu wako board.Wasawhili mtaamka lini?Uchagani hakuna huo ushamba,kazi ni nyingi sana mazee.

    ReplyDelete
  3. Namuunga mkono Anon wa kwanza hapo juu. Chess sio mchezo wa kitoto bwana, hao kina dada hata mkao waliokaa tu sio mkao wa chess. Chess inahitaji utulie upige mahesabu, sio mchezo wa kucheza huku unapiga soga kama hao kina dada hapo

    ReplyDelete
  4. michuzi piga ua mcheza chess havai KANGA

    ReplyDelete
  5. WE ANON WA PILI UNA NGUVU GANI YA HOJA KUWAITA HAWA LAZY PEOPLE? WE UNADHANI WANA TAMAA NA MAISHA KAMA YA KWAKO EEE? ETI UCHAGANI HAKUNA HUO USHAMBA.WE NDIO SHAMBA KWELI ILA HUJIJUI ATI.WATU WANAFANYA KAZI THEN WANAPUMZIKA NYINYI NDIO MAANA MNAONGOZA KWA UJAMBAZI,UTAPELI,MAUAJI YA HUSDA N.K HALAFU KWA TAARIFA YAKO WACHAGA NDIO HUPUMZIKA SANA NA MBEGE,BIA NA NYAMA BAADA YA KAZI.WEWE KAMA UNAFANYA KAZI MUDA WOTE LAZIMA NYIE NDIO MNA ''KAMAFLEJ'' MCHANA UNA DUKA LA VIBIRITI NA MAFUTA TAA..USIKU UNA KALANISHKOF NA AK-47 MNAGEUKA WANYAMA KISA ''LAZIMA KUWINI MAISHA...KALAGHABAHO.PIGA KAZI PUMZIKA.HALAFU ELEWA KITU ''DIVISION OF LABOUR''.WALE WANAWAKE WA WATU WANAPUMZIKA AFTER MAJUKUMU.WE NDIO MSHAMBA USITUPAKE MATOPE WACHAGA EEEE.
    MASAWE-VIENNA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...