Kaka michuzi mimi na wadau wenzangu wa coventry tunaitakia mafanikio mema hii blog yetu kwa kutimiza miaka miwili, umekuwa kiunganisho kizuri sana cha habari kwa wananchi wa tanzania ndani na nje ya nchi naweza kusema kwako tunapata habari haraka sana kuliko hata kwenye vyombo vya habari vingine tanzania, nitaweza kukupa mfano zile habari zilizosemwa ati mpanjia amekufa kuna watu walikuwa wananitumia msg niwachekie kwa michuzi blog kwa hiyo tunakushukuru sana mungu akupe afya njema.


Lizzie,

coventry(england)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. michu! yule mtoto mzuri ELMA mbona umeiondoa picha yake jamani!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. COVENTRY!!! AHAAAA KULE KWENYE NYUMBA ZINAZOTANGA KUANGUKA WAKATI WOWOTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...