mwanadada akiwa fleti kufuatia msongamano wa jana kwenye uzinduzi wa mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi bustani ya mnazi mmoja gadeni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hiyo inatakiwa mouth 2 mouth first aid, lakini it's ok kutumia upande wa kanga kama jamaa mwenye shti la bluu anavyofanya kwani wabongo hawakawii kusema jamaa ame-take advantage na kuamua kula denda hadharani mbele ya Polisi wa kike na mbele ya kadamnasi.

    ReplyDelete
  2. Mmh!dada una kifafa misongamano ya nini? tulia home ndugu yangu..pole sana

    ReplyDelete
  3. Michu nimependa hiyo ya

    ***...bustani ya mnazi mmoja gadeni...*** te teee

    ReplyDelete
  4. MICHUZI EEEE BLOG YAKO INASOMWA NA WATU WENGI HEBU LEO NIWAPE SOMO KIDUCHU WABONGO WENZANGU
    INAONENAKA KUWA HAKUNA WATAALAM WA HUDUMA YA KWANZA HATA KATIKA MATUKIO MAKUBWA KAMA HAYA.
    HUYO DADA KAMA AMEZIMIA AU KUPOTEZA FAHAMU NI LAZIMA HATUA ZA HARAKA ZICHUKULIWE KUOKOA MAISHA YAKE.MARA NYINGI MTU BAADA YA KUZIMIA(MOYO UNAPOSIMAMA) HUFA BAADA YA DK KUMI(KAMA HAKUJAFANYIKA CPR) KWA HIYO MTU AKIZIMIA BAADA YA KUDONDOKA,KUGONGWA GARI,NGUMI YA KICHWA,HEAD TRAUMA YEYOTE,SHOTI YA UMEME HARAKA ANAFANYIWA CPR(Cardiopulmonary resuscitation)AMBAYO MADHUMUNI YAKE MAKUU NI A(AIRWAYS)-KUFUNGUA NJIA YA HEWA NA KUFANYA AENDELEE KUPATA OKSIJENI,B(BREATHING)-KUHAKIKISHA ANAPUMUA NA C(CIRCULATION)KUHAKIKISHA MZUNGUKO WA DAMU (ULIOSIMAMA KWA GHAFLA KUTOKANA NA PUMP(MOYO) KUSIMAMA KABISA AU KUFANYA KAZI CHINI YA KIWANGO)UNAENDELEA KAMA KAWAIDA ILI TISHU KAMA ZA UBONGO ZIPATE OKSIJENI NDANI YA DK KUMI.KWANI ZIKIPITA DK KUMI ''BRAIN DEATH''HUTOKEA KWA HIYO HATA KAMA MOYO UTAFANYA KAZI TENA BAADAYE HAKUNA FAIDA MGONJWA AMESHAKUFA TAYARI.MALENGO YA CPR HASA NI KUOKOA MAISHA YA MGONJWA DK KUMI ZA AWALI.
    CPR HUITWA MASAJI YA MOYO WAKATI MWINGINE.NA HII HUENDELEZWA HADI MGONJWA IJULIKANE WAZI ANAPUMUA AU AMESHAKUFA.SIJUI KAMA FIRST AID EDUCATION INATOLEWA.MTU ANADONDOKA MPIRANI WATU WANALIA NA KUMWANGALIA TU.HEBU WAAMBIE HAO WASOMI WETU WATOE ELIMU HII YA RAHISI NA INYOWEZA ELEWEKA HATA NA GRADUATE WA CHEKECHEA.

    SAMEER-ATHENS GREECE

    ReplyDelete
  5. MSDNGAMANO ndio uliosababisha,au lishe ndio inasumbua,michuzi fafanua

    ReplyDelete
  6. Mama weee..!Huyu polisi yuko kazini au anatania?Inakuwaje kavimbiana namna hii?Inaelekea hafanyi zoezi la aina yeyote kujiweka nadhifu kama polisi.Sasa na uzito huo atamkimbiza nani itakapobidi??!!

    ReplyDelete
  7. utadhani tanesco walijua mi leo ntauaaa!

    ReplyDelete
  8. trqfiki si qnqsema "riache ritanyanyuka tu hiro, rinajidai kufa"

    ReplyDelete
  9. Dada afadhali ulivyolazwa kwenye stegi na pembeni polisi.malalaji hayo ungekuwa pembeni kidogo tuu ingekuwa shughuli kubwa na wapenda midondo.

    ReplyDelete
  10. huyo jamaa hata hamfahamu huyo dada, anamalengo yake mengine. Hivi hapo hakuna waheshimiwa/wataalam festi aidii ? Nyie mnawakusanya Wenye Nchi namnahiyo bila wataalam wa imejensi? huyu ni mmoja tu je wangekuwa mia, hivi kunamagari ya kubebea wagonjwa ? hakuna kituo cha kuhudumia wananchi kwenye tukio kama hili ? NASIKIA TUNA WIZARA YA AFYA HIVI NI KWELI.

    ReplyDelete
  11. NAMSHUKURU SANA HUYU NGD TOKA GREECE ALIYETOA SHULE YA CPR.NI KWELI KABISA KATIKA MIKUSANYIKO MINGI HAPA TANZANIA WATAALAMU WA HUDUMA YA KWANZA KUWEPO NI SHIDA SANA,NA HATA WAKIWEPO NI ILE KUWEPO TU KWA SABABU TU WAMEAMBIWA WAFIKE LAKINI HAWAKO SIRIASI KWA KAZI YENYEWE,KWA HIYO NI BUSARA KWA ASASI,SERIKALI,NA WANAICHI KWA UJUMLA KUFAHAMU NINI UFANYE WAKATI DHARULA INAPOTOKEA KWA MTU HASA KUPOTEZA FAHAMU KAMA HUYU DADA HAPO JUKWAANI,JAMAANI WANDAAJI TUKIANGALIE HILO,KAMA HUYU DADA AKIPOTEZA MAISHA NANI WA KULAUMIWA,NANI WA KULIPA FIDIA KWA FAMILIA,KWELI NCHI ZETU BADO SANA LAKINI TUTAFIKA TU.

    ReplyDelete
  12. HUYO JAMAA WA GREECE ANAONEKANA ANASOMA MADUDE KWA KUELEWA SIO KUKREMU.MAANA ANATOA VITU KAMA PROFESA WA MUHIMBILI.JAMANI ELIMU YA UGIRIKI SIO MCHEZO.HUYO SAMEER WA HAPO JUU WE NDIO ULISOMA KIBITI O-LEVEL AU?
    MAANA KUNA KICHWA CHA NAMNA HIYO NAKIKUMBUKA ALIKUWA NOMA ANAZUNGUKA TU LAKINI MUDA WOTE ANAKABA COMBINATION ZOTE ARTS NA SCIENCE.KAMA SIKOSEI ALIENDA TABORA BOYS A-LEVEL.IF YES TUWASILIANE.
    RAFIKI YAKO MNDENGEREKO

    ReplyDelete
  13. polisi wanawake nao wavae suruali haya hapo miguu wazi jukwaani akipigwa mtama chupi nje.Natoa ushauri polisi wanwake wavae suruali wakti wote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...