Wanafunzi wa shule ya msingi St. Dominic Savio ya Iringa wakimshangilia balozi wa redds Victoria Martin alipowatembelea hivi karibuni alipokua kwenye ziara ya semina za mikoni kuhusu shindano la ubunifu wa mitindo ya mavazi ya kiafrika (Rafda).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Haya ni yale yale ya kupoteza pesa kwa visingizio kuwa wanafanya ziara za manufaa!!
    Kabla ya kufanya hii ziara kuna mengi ya kufanya ya kunafaisha wenye shida,very silly!!!

    ReplyDelete
  2. Angalia watu wengine,wafujaji wa pesa wakati kuna TAIFA LA KESHO WANAKAA SAKAFUNI Heri hata enzi nyerere hatujakaa chini lakini hawa watatumaliza jamani aaaah!!!! wacha tu.

    ReplyDelete
  3. Hivi mjomba CHUZZI, "Rafda ni ya kidosi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...