kariakoo inazidi kubadilika. hapa ni kona ya mitaa ya swahili na msimbazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hili jengo halijeshaa tuu,nakumbuka lilikuwa hivihivi toka nakimbia bongo 19 kweusi.

    ReplyDelete
  2. Dar tatizo ni ujenzi holela wa majengo wakati miundo mbinu kama mitaro ya maji machafu, barabara, vyoo vya jamii, taa za barabarani, njia za waenda kwa miguu na maegesho ya magari viko duni sana, tena mno kiasi cha kusikitisha!

    Viongozi wa jiji na wizara inayohusika...SHAME ON YOU...SHAME ON YOU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...