mdau wa marangu katuletea hii tuone kili ulivyo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mandhali ya Kilimanjaro hapa imetulia. Imenibidi niiweke kama background ya desktop yangu. KAzi nzuri.

    ReplyDelete
  2. SHIKIRIMU IMEBAKI KIDOGOoooo! sijui kama vitukuu watakuja kuiramba!

    ReplyDelete
  3. Masikini kilimanjaro, kubadilika kwa maijira kumeiathiri kwa ukubwa Kilimanjaro, miaka 50 ijayo itakua hakuna theruji tena, kilimanjaro itakua historia, so sad

    ReplyDelete
  4. Ah! Ile Kilimanjaro tuliyokuwa tunaijivunia ndio hiyoo inaishia. Mdau hapo juu amesema miaka 50 ijayo.. lakini mimi naona kama 20 tu inatosha kututoa katika kujidai hukwo .... Jamanii.... Kilimanjaro

    ReplyDelete
  5. Blaza. Kwa uzoefu wangu wa mlima huu. Hi picha imepigwa akiwa kati ya Himo na Moshi mjini, na siyo marangu. Samahani lakini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...