wadau wengi wamenitaka nibandike tena picha hizi za kinshasa, sababu kuu ikiwa wameshazisikia sana lakini hawajaziona, na kila wakipekua globuni hawazipati. tarishi hauwawi - nawasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Hapo ndio Kinshasa Bwana sasa hivi pameshatulia wameacha mavita vita. Stay tuned guys. Kinshasa is catching up very fast.

    Kwa wale mnaojua Kifaransa msicheze mbali. Badala ya kuhangaika kwenda Marekani au UK tembeleeni Kinshasa kuna vitu vingi vya kufanya.

    -------------
    Lingala kidogo:

    Pesa mbote (nipe tano)
    Ba mbote na bino ya ngoyo (kula tano zako hizo)

    ReplyDelete
  2. du michu si mchezo..sasa hawa ukiwasikia wanaongea si matusi matupu..mdau Holland

    ReplyDelete
  3. Duuu!!!
    Itabidi nimtafute msela wangu Nyoshi El Saadati anisaidie ufafanuzi.

    Samahani wadau tusaidie tafsiri!!

    Dinah upooooooo?

    ReplyDelete
  4. Duuu!!!
    Itabidi nimtafute msela wangu Nyoshi El Saadati anisaidie ufafanuzi.

    Samahani wadau tusaidie tafsiri!!

    Dinah upooooooo?

    ReplyDelete
  5. mh! hawa jirani zetu vipi, eastern zaire (now eastern congo) kulikuwa na airstrip inaitwa musenge munene...tarishi mimi nisiuwawe pia blo mchuzi

    ReplyDelete
  6. Kaka MIchu nipo hapa Washington-DC mbona hiyo ni ndogo kwani hapa DC nafanya kazi katika kampuni moja ya kuuza vyakula. Na mmoja wa wafanyakazi wetu ni mzaliwa wa Japan na anafanya kazi hapa kwenye kampuni yetu jina lake anaitwa TAKO UMEHARA. Kwa kweli mimi siku ya kwanza kumsikia niliangusha kichizi na nikamfafanulia kwa kwetu huko majina yake yanamaanisha nini. Basi akawa hana la kusema zaidi ya kuamua kuniita na mimi kama majina yake yalivyo eti tuwe wawili.Na akaniomba nisiwaambie wengine maana ya jina lake kwa kikwetu.

    ReplyDelete
  7. Hii cha mtoto.Hebu pata majina ya timu ya Taifa ya Japani

    Japan National Football Team Players:

    1) Takahara Harozito

    2) Shikatako Takanusa

    3) Yoshio Yuwashuta

    4) Takamboro Nagawa

    5) Nyegezito Kumagawa

    6) Tamani Gawauchi

    7) Katavuzi Cho

    8) Takagawa Kumamoto (C)

    9) Katakundu Takafirwa

    10) Kokote Nataka

    11) Kanatoa Shuzi



    Coach: Takauchi Kumamoto.
    -Inamaoto na wengine wameenguliwa

    Yasemekana kuwa Wachezaji hawa wali safiri kwa ndege moja na bintiye Rais wa Afika-Kusini Mhe.Thambo Mbeki,ambaye anaitwa Sito.

    Je majina kamili ya binti Huyu yangetamkwaje? Sito Thabo au Sito Mbeki??.

    ReplyDelete
  8. Bwana Michu, hebu tuwaache majirani zetu maana tukiishaanza matumizi ya maneno basi hapa nilipo mimi jina la ndugu zetu wachaga "Mushi" lina maana mbaya sana. Ukitamka basi jua umekiita kiungo muhimu cha dada na mama zetu. Hebu tuachane na Babel hii wandugu. Ila mmh ukienda Kinshasa yafaa Mkwe umwache mbali.

    ReplyDelete
  9. Michuzi hiyo cha mtoto, kuna mtu namfahamu ana majina matatu, la kwanza shuzi la katikati limepata na la mwisho mjambaji yaani jina kamili SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI ! upo hapo ?

    ReplyDelete
  10. e bwanaeee nilikuwa nimenuna leo lakini nimecheka sana niliposoma blog ya bwana michu.. especially the guy from washington DC, mie ni mwanasoka sana na kwa kweli timu yangu kipenzi ni ya japani na mchezaji wangu maaarufu ni namba 11 katika timu hiyo hana tofauti na Beckham, kwi kwi kwi kwi teh teh teh....

    ReplyDelete
  11. Papaa Anzo, andika tena maana nakumbuka enzi hizo uliandika ufafanuzi yakinifu kuhusu hizi picha huko mu zaire.

    ReplyDelete
  12. Kaka Michu haya tuyaache kwani ukishangaa ya musa utayaona ya firauni!
    Mdau

    ReplyDelete
  13. Kuna Annony October 1, 2007 7:14:00 AM EAT, kadodosa kitu cha maana sana.. ambacho ni vyema wandugu zetu walioko huko majuu watujulishe.

    hii ni kuhusu baadhi ya maneno/majina ya kiswahili ambayo hayana tatizo wala soo kutajwa hapa kwetu lakini kuna baadhi ya sehemu ni sawa na tusi. Jamaa kaanza na jina la Mushi, huku akiashiria kiungo fulani ktk miili ya akina dada na mama zetu.

    hakuna neno/jina jingine la kibantu lenye maana tofauti huko nje. mara nyingi tunachukua majina ya kijapana ambayo hapa kwetu ni matusi..

    ReplyDelete
  14. Kaka Michu mambo haya ya lugha tuyaache tu kwani kuna msemo usemao ukishangaa ya mussa utayaona ya firauni!
    Mdau

    ReplyDelete
  15. Majita, umeniacha sina mbavu, du!

    ReplyDelete
  16. Du bwana Majita, hio taifa stars ya Japani nakadhani ikija watangazaji wa mpira itakuwa wawe wanatangaza kwa namba zao za mgongoni tu...tihitihi

    ReplyDelete
  17. Michuzi,

    Hapo juu ya blog hii unawataka watumiaji wajiheshimu kwa kutoa
    maoni bila matusi, sasa vipi wewe
    kuwa ndio wa kwanza kutuwekea mabango ya matusi!!!!.
    Tafadhali jiheshimu sana kwani una dhamana ya wanaotazama blog hii wakiwemo watoto. Je kwa mabango hayo unajaribu kutuelimisha nini?

    Kila mtu anajua kuwa baadhi ya maneno mazuri kwenye lugha moja, kwenye lugha nyingine ni matusi.

    ReplyDelete
  18. LUGHA!!!...tulivyokuwa twasoma addis, ethiopia chuoni was multunational (ethiopian airlines)...wa TZ tulikuwa wengi kidogo...mara kwa mara tukiulizana umeKULA?...pia as we all know wahabeshi mabinti wanapendeza...tukipenda sifia "duh! umemuona MTOTO yule?"...jamaa wa kihabeshi my coursemate/friend siku moja akanivuta pembeni akaniuliza, "what does KULA mean"?...nikamfahamisha...akanijibu in amharic it means a female sex organ!!...next, some other day jamaa wa swaziland akaniuliza..."what does MTOTO mean?, i hear you guys frequently use that word"...nikamwambia ni slang ya msichana mzuri..akaniambia in their language ina maana ni male sex organ!!...

    ReplyDelete
  19. sisi wagogo,nikiomba UCHI naomba nisieleweke vibaya,ninaomba ASALI.

    ReplyDelete
  20. ila ya mtoto wa Thabo Mbeki ni kiboko!

    ReplyDelete
  21. Hebu anayejua kwa Mugabe (washona) maneno haya yana maana gani?
    Ubeche
    Asali na
    Gongo

    ReplyDelete
  22. In American Slaing, KAKA ina maana ya Kinyesi(Mavi) lakini nyumbani unajua tena Kaka michu, hivyo tuwe na ueleo mkubwa tu, lugha duniani zinaumuhimu wa mawasiliano baina ya wanajamii hao.

    Katty.

    ReplyDelete
  23. ANON WA MWISHO HAPO.HAPA UTURUKI KAKA NI KINYESI.HALAFU ASHAKUM SI MATUSI K*** NI MKE MWENZA KWA HIYO UKISIKIA MTURUKI ANATAKA K*** UJUE ANATAKA KUOA MKE WA PILI INGAWA SI COMMON SANA HAPA.HALAFU MAVI KITURUKI NI RANGI YA BLUU.KAAAAZI KWELI KWELI.JAMANI SUBIRINI MFUNGO UISHE BASI MAANA KUFUNGUA TU BLOG SWAUMU MATATANI.KAZI KWELI KWELI
    B BOY-TAKSIM ISTANBUL

    ReplyDelete
  24. Kaka Michu, Botswana kuan kabila ambalo linapakana sana na Zimbabwe, hili kabila ni linaitwa KALANGA na lugha yao ni IKALANGA. Wana neno moja likiwa na maana ya nywele za kichwa nalo hufanana kwa matamshi kama neno la kiswahili la nywele za sehemu za siri yaani MAVUZI. Kimaandishi ni MAVUDZI na hutamkwa MAVUZI. Ni pia kuan neno jingine nalo ni NGONO nalo kwa IKALANGA ina maana ya KAZI na hapo kwetu ni shughuli pevu.. Kaaaaazi kubwa na lugha za watu ... (aKd)

    ReplyDelete
  25. Kuna mdau kauliza maana ya maneno ya Ubeche, gongo nk. kwa Kishona. Kwa kwlei ubeche ama gongo hakuna ila "BECHE" lipo na lina maana ya uchi wa mwanamke K??? (aKd)

    ReplyDelete
  26. Mr Michuzi, you started of fine, got better. Sasa unaanza kuharibu. Stick to what you are good at. Mambo kama hayo yatakuvunjia hadhi yako. Don't get pulled into the idiotic way of thinking. You can still be funny without using obscene words. Kwa mwendo huu naona hata aibu kuwaeleza wenzi wetu ambao sio wa TZ lakini wanaongea cha kwetu, maana this is a reflection of the mentality katika hiii blog. Get out of the gutter. Wako, Mlonga Mbeka

    ReplyDelete
  27. Sasa kaka mithupuu!
    pamoja na wanakijiji wote.Hebu fikirieni anon hapo juu anayejifanya yeye jokes kama hizi hazitaki anaitwa Mlonga Mbeka.Ikitokea akaoa mhaya kuna hatari mmoja wa watoto wao akaitwa "Kato".Hebu kamwandikisheni huyo mtoto shule ukizingatia Tanzania U-bin(surname)tunatumia wa babu.Huyo mtoto ataitwaje??

    ReplyDelete
  28. Mlonga Mbeka umechemsha sana,Issa anatu expose to the outside world,ni lazima tujue culture(mila kama huelewi neno culture!) za nchi za nje hasa majirani wetu kama wa zaire.Elewa lugha ni sehemu kubwaya culture.Mlonga au hutegemie kusafiri nje??ukifika Zaire, utambiwa 'twende mavuzi' utafikiri unatukanywa tusi kumbeanataka muende kula nyama choma
    thats all, Fanuel(KICHWA!) on my way to Hongkong!

    ReplyDelete
  29. Kaka Michuzi,
    Comment za picha ya afande na comment ya Majita kuhusu timu ya japani zimenimaliza kweli kweli. Nawashukuru kwa kuongeza uhai wangu maana nasikia cheko linaongeza uhai.

    ReplyDelete
  30. MHESHIMIWA HAPO JUU TUNASHUKURU SANA KWA MAWAZO YAKO..LAKINI JINA LAKO KWA KIKWETU SITAKI SEMA HUMUNDANI NITAKUWA NIMEKUVUNJIA HASHIMA YAKO "..MLONGA MBEKA.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...