mtoto wa nani huyu jamani eeee.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. watu wana utani ee!, ni kwamba huyo binti kapotea au?? au nimeelewa picha vibaya..

    nchi za wenzetu hawachelewi kumtaifisha huyo baby na kuwa chini ya social service,kisa mzazi kashindwa kulea.

    ReplyDelete
  2. jamani mtoto wangu naombeni mnileteeni huku kwa baba bush maana naona sasa kinawaka kweli kweli, mume wangu kashindwa kumlea kabisa huko nyumbani,itabidi nikamfuate mtoto wangu yani kinauma ningekuwa sijasoma blog hii nisingejua kwamba mtoto wangu. jamani roho inauma sana.
    asante sana kaka michuzi kwa picha hii.

    ReplyDelete
  3. MWENYE MTOTO NI YULE ALIYE ANGUKA MKAMLAZA NA KUMPULIZA NA KANGA YAKE MWENYEWE, HAYA SASA MPELEKEE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...