mdau william mjema aliye tampere, finland, katika kupekuapekua vitabu vyake kakuta noti hii ambayo anasema ilikuwa inatumika enzi hizo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hello Bwana William, nitakuwa nakuja Finland December, mimi ni Mtanzania nasoma hapa USA, nitakuwa natembelea familia ya mke wangu hapo Tempere, naomba tuwasiliane basi,
    Frank
    vensabe@gmail.com

    ReplyDelete
  2. kihistori ok.. lakini haina mpango.

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa Michuzi,

    Naomba utubigie picha ya karibu sana ya uso wa mbele wa majengo ya BoT yanavyoonekana kwa sasa ili tuanze kujua hayo majengo yanayolalalmikiwa sana yakoje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...