Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hilo gazeti la Rai la kina Rostam hakuna anaelisoma maana kila siku wanachemsha yaani bora hata Daily News au Habari Leo yanaandikaga ukweli wakati mwingine na sio pumba kama watu wa Rai. Mzee Bomani pumzika tu ulishindwa kushughulikia Rushwa wakati ukiwa na madaraka mbalimbali sasa unajifanya kuonya nini.

    ReplyDelete
  2. hizo ni njaro tu za serikali kutaka kuzima mapambano hata mzimeje tuna wangoja 2010 muonje ilichoonja NAK ya kenya

    ReplyDelete
  3. Rai ilikuwa ni zamani enzi ya Jenerali Ulimwengu kabla Serikali haijamnunua Salvatory Rweyemamu na kapewa uongozi katika Ofisi ya Rais, siku hizi ni gazeti la CCM tu. Zamani ukinunua gazeti la Rai u can read it the all week halichuji. Nadhani siku hizi mauzo yatakuwa yamepungua sana. Sio gazeti tena hilo limepoteza mwelekeo

    ReplyDelete
  4. Rai baada ya kununuliwa na Rostam A imekuwa afadhali ya magazeni kama kasheshe imepoteza mwelekeo

    Sasa wanaleta mawazo ya vikongwe yatasaidia nini? Sasa dunia imebadilika

    Mwambie huyo mzee apumuzike tu siasa za sasa hivi zinataka nguvu

    ReplyDelete
  5. Ama kweli Rai siku hizi choka mbaya,Rai ilikuwa zamani jamani Dunia hii ya leo mambo yote haya huyu mzee ati jaji mstaafu nae anaongea pumba namna hii?alitaka tuhuma ziwe vipi?mambo yote hasa ya BOT unaambiwa ni report ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali alitaka nani aseme ili isiwe lege lege kwa mafikirio yake?Mzee amechoka Michuzi mwambie akapumzike hana tofauti kabisa na yule aliyemwaga pumba last week aka Kingunge Ngomale Mwiru!
    Ushauri wa bure ni kwamba Rai mshacuja siku nyingi fungeni production au badilisheni jina gazeti litanunuliwa!nowdays afadhali hata ya JITAMBUE linaandika sense kuliko Rai,infact Rai now days halina tofauti na Uhuru!

    ReplyDelete
  6. Who's Mark Boman by the way? He time is up he need to sit down and enjoy his retirement. I think these people havent figured out that its about time for serious changes. Scary tacticts no longer works

    ReplyDelete
  7. Sa nyingine we mchuzi huweki vitu vya maana unaweka utumbo kama huu. hata ile list ya mafisadi ulishindwa kuweka kwa sababu zako unazozijua. Hivi wewe huna uchungu na Nchi yetu?

    ReplyDelete
  8. Mzee wetu Hon Bomani tunakuheshimu... Ingefaa sana ukajipumzikia ukawachia vijana wako nafasi... Itakumbukwa ulipokuwa ofisini pamoja na uadilifu lakini pia hukufanya mapya yenye sura unayojaribu kuitoa leo hii nje ya wakati...nje ya ofisi... tena kupita rai gazeti chovu...
    Hao jamaa waliotajwa ni mafisadi na ushahidi huohuo uliopo hewani sasa hivi unatosha.... 'Ucituprovoke' tafazali sana...

    ReplyDelete
  9. What said Mr Bomani ni ukweli kabisa, kama hutaki au hupendi ukweli huo is up to you. Lakini itabaki kuwa tuhuma za Dr. Slaa ni legelege.

    ReplyDelete
  10. Chadema ni wasanii! - Mtikila

    Mtikila adai Chadema inafanya usanii

    Stella Nyemenohi
    HabariLeo; Monday,October 01, 2007 @00:03


    Quote:

    --------------------------------------------------------------------------------
    MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Christopher Mtikila ameibuka na kukishutumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa kinafanya usanii wa kutumia majukwaa kujadili madai ya ufisadi dhidi ya viongozi wa Serikali kwa lengo la kufunika vyama vingine na kushika madaraka na siyo kuleta ukombozi kwa umma.

    Mtikila, ambaye hata hivyo anaunga mkono madai hayo ya Chadema, alisema kitendo cha viongozi wa chama hicho kuacha kwenda mahakamani kinadhihirisha hawana nia thabiti ya kukabili tatizo, bali wanapoteza muda katika majukwaa kujipatia umaarufu.

    “Hawa watu (Chadema) ni wasanii. Wanataka washangiliwe kwa gharama ya taifa. Mikataba ni suala la kisheria, haki ya kisheria haipatikani katika majukwaa. Wao hawataki mahakamani ambako ndiko wangepata haki?” Mtikila aliiambia HabariLeo jana.

    Alisema kitendo cha baadhi ya viongozi waliotuhumiwa kuwa mafisadi kwenda mahakamani, ni mwelekeo wa kuzimaliza hoja hizo ambazo kama zingeshughulikiwa katika mkondo unaostahili, umma wa Watanzania ungeshuhudia mabadiliko.

    Viongozi waliotangaza uamuzi wa kwenda mahakamani kumfungulia mashitaka Mbunge wa Karatu, Wilbrod Slaa, kwa madai ya kuitwa mafisadi ni Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Grey Mgonja na Katibu Mkuu, Wizara ya Maji, Patrick Rutabanzibwa.

    “Kitendo cha walioshutumiwa kwenda mahakamani, hapo ndipo wamewabana. Lazima waanguke. Hapa suala la kujiuliza ni kwa nini Chadema hawakwenda wakati walikuwa na haki na hoja ni za kweli?” alihoji.

    Kwa mujibu wa Mtikila, aliwashauri viongozi hao wa Chadema kufungua kesi kupitia mawakili watatu ambao kwa mujibu wake, walitaka walipwe Sh milioni 10 kwa kazi hiyo, lakini viongozi hao wakakataa.

    Katika kile anachosisitiza kuwa ni usanii wa kutaka kutumia hoja hizo kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, Mtikila alisema ushauri wake ulilenga kufungua kesi itakayotoa suluhu la ufisadi kwa upana, ikiwa ni pamoja na kuondoa kipengele cha usiri katika mikataba.

    Mtikila aliendelea kukishutumu chama hicho cha upinzani kuwa kinafanya hivyo kujizoelea sifa kwa kutumia hoja ambazo siyo ngeni ili kukidhi matakwa ya wafadhili wao wanaowataka wahakikishe kinaingia madarakani katika uchaguzi ujao, na wala si kwa masilahi ya umma.

    “Wanaposema Karamagi kasaini mkataba Uingereza, Chadema nao hawana tofauti naye. Hawa wana Barrick, wao wana Conservative, wamewaambia lazima waingie madarakani,” alidai Mtikila.

    Akisisitiza kuwa shutuma hizo dhidi ya Chadema hazitokani na wivu wa siasa,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...