kuna wadau wameomba kuiona picha hii ya shabiki wa simba na mbuzi wake wakiwa neshno enzi hizo wakati simba na yanga walipokuwa na unazi uliotukuka. taarifa mpya ni kwamba baada ya kuvurunda kwenye michezo ya awali ya ligi kuu, simba imeongeza nguvu benchi lake la ufundi kwa kumrejesha jamhuri kihwelo 'julio' kama kaimu kocha mkuu na yanga wanafikiria kumrejesha kundini kocha jack chamangwana ambaye muda wote huu alikuwa kando akifundisha timu ya watoto wa wana jangwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...