umati uliohudhuria uzinduzi wa mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi leo mnazi mmoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii shereje ilihudhuriwa na watoto kwa wingi, kweli uadilifu na mengineyo......bora zecomedy wanatuburudisha sio wabadhirifu na uadilifu

    Slaa, endelea kukandamiza ng'wana wane

    ReplyDelete
  2. Ufisadi umekuwepo tokea miaka mingapi vile Warioba? Hee, kumbe tusishtushwe na hayo majina yanayotajwa "ni kawaida tu"!!!!!!!!!!!, mhhhhh!!!! kazi kweli kweli. Tanzania bado kidogo tutakuwa hoi, mheshimiwa Warioba ana maana gani, maana hiyo kwa kweli....mhhhhhuu...sijaelewa

    Slaa kuna uwezekano wa kutoa tafsiri ya hicho kitu alichotoa Jaji hyo? ...above the law......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...