umati uliohudhuria uzinduzi wa mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi leo mnazi mmoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. michuzi ni kweli??

    kwa mtazamo wangu, huo umati asilimia 80 unasubiri ze comedy na hata kitakachozungumzwa hapo hakuna atakae kumbuka kwani kikubwa wanachosubiri hapo ni shoo, shoo ya bure nani akose, makamu wa rais anafuraha kuona kwamba wananhi wameitikia mwito kumbe du!

    wengi wa hao watu ni wananchi wa kawaida either wafanya biashara na wengine hawana hata ajira na watoto kwa wingi hadi wengine wameachwa bila usimamizi wa wazazi wao.

    walengwa wakuu ambao ni wafanyakazi wa serikali ni wachache sana wako hapo, wengi ni walala hoi tu ka mimi, ni mtazamo wangu tu wadau ruksa kunikosoa,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...