makamu wa rais dk. ali mohamed shein akikata riboni ya kitabu kama alama ya kuzindua rasmi mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi leo bustani ya mnazi mmoja gaden. sherehe hizo zilifana hadi ulipofikia wakati wa burudani ambapo msongamano ulisababisha kuahirishwa kwa shoo ya ze comedy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ha ha ha ha ha Bwana Mithupu una mengi...... eti BUSTANI ya mnazi mmoja GARDEN ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  2. mimi natoka nje ya mada kidogo.nimeona ilo tangazo la kupima ukimwi.ila mbona hamkazanii watu watumie condom kama walivyofanya majirani zetu uganda na kweli ukimwi ulipungua kiukweli.fundisha watu.kila sehemu mashuleni watoto wadogo.zaidi ya nguvu na hela nyingi mnayotumia kutangaza kuimiza kupima bila kujua jinsi ya kujikinga..haina maana kama mtu akipima leo ukimwi akakuta hana.na kesho yake furaha zake zikamtuma kwenda kufanya ngono zaidi kwa kujijua yuko salama bila kujua jinsi ya kujikinga na akapata magonjwa siku ya pili yake.amkeni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...