wanja letu la ndege halijachacha kiivyo. hapa ni katika lonji ya mwisho kabla hujakwaa pipa. ukiondoa odogo wake sijaona tofauti sana na lonji za nchi zingine - karibuni waoshazzzzzzzz...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kaka hilo ni lounge la nguvu 2. Wasisagie lounge letu. Nilibahatika kusafiri mara moja nikakutana na lounge imechoka kichizi mfano anzia kwa watani zetu na hata ukweni then njoo latini America na baadhi ya nchi za STAN-REPUBLIC.

    ReplyDelete
  2. Hapo imetulia kama Heathrow vile..tatizo kwenye ku check in paa linavuja na uvundo kama kafa paka..duu! wanja zuri shida iko kwenye utunzaji.
    bro michu hivi vyooni maji yako siku hizi?

    ReplyDelete
  3. michuzi you are wrong,hiyo ni lounge ya stand ya bus,siyo ya ndege sababu tanzania hakuna ndege

    ReplyDelete
  4. si kwamba nakashifu ila napenda nchi yetu ipendeze, wanja letu zuri lakini ni la kizamani sana kama elevator imepitwa na wakati inafungulia kwa kutumia ufunguo halafu kwa ndani jengo linahitaji kupakwa rangi kuta ni chafu sana and kitu kingine muhimu kwa sababu ni international airport inahitaji liwa designed kwa watu disabled pia. naona wana wheelchair tu lakini hamna choo cha disable

    ReplyDelete
  5. michuzi naona huko nyuma kidogo kwa habari lakini inawezekana unafahamu kuwa serikali imeisha saini mkataba na makandarasi wa kichina kujenga uwanja mpya wa kisasa wa ndege bagamoyo,na mambo yanaanza 20008 mwishoni na hii siyo kwamba inafikiriwa kufanywa, hapana,mkataba umeshasainiwa kilichobaki ni kulianzisha tu,huo uwanja wa zamani utabaki kuwa kwa local airline.

    ReplyDelete
  6. ...huyo aliyesema TZ hakuna ndege ana maana gani?...au zile za kwao za kuruka usiku kwa ungo ndio anazozijua?...anyway, the airport is approaching 25 yrs now...NO EXTENSION has been made todate...they say kuna termnal 3 inakuja...departure lounges kweli wamejitahidi kuzi maintain...air conditioning system ile original ya mfaransa died sometime back, inayotumika hivi sasa ni improvisation...vyoo vilifikia kuwa HAVIINGILIKI mpaka tender ya USAFI alipopewa MTU BINAFSI ndio sasa hata kama 'unaendesha' you can go empty your bowels somehow comfortably bcoz theriz water...KUSUBIRI BAGGAGE can sometimes really be a manace...jamaa wa SWISSPORT whatever that means they have monopoly ya general handling ya baggage, hivyo basi...sometimes KUNA KATREKTA KAMOJA TU kana serve upto ndege 4...kaende karudi kaende karudi wakati abiria wako puzzled, frustrated, wondering if mizigo yao came by road.. .ukitoka pale nje upon arrival TAXI DRIVERS have an established 'office', they will swarm around you like killer bees...last but not least ni security checks...ni kweli since 911 dunia nzima imebadilika but hawa niwaite walinzi wa milangoni wa DAR wananahitaji a little introduction to public relations and customer care...

    ReplyDelete
  7. Michuzi naona huna sense of smell. Tofauti kubwa sana tu. Ukikanyaga hapo ni harufu fulani nzito sana. Sijui AC hazifanyi kazi vizuri?

    ReplyDelete
  8. MICHUZI ACHA KUTUYEYUSHA BWANA. UKWELI NI KWAMBA BONGO UWANJA WA NDEGE HATUNA LABDA TUSUBURIE ULE WA KISASA UNAOJENGWA KULE MBOZI MBEYA.

    TENA NIMEKUMBUKA, HIVI ILE PROJECT YA KUJENGA UWANJA WA NDEGE PALE MBEYA INAENDELEAJE? UNAWEZA KUTUPATIA MAPICHA YAKE KIDOGO? NINA WASI WASI SANA NA UENDELEVU WA ILE PROJECT MANAAKE HUYU RAISI WETU WA SASA HANA MUNKARI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU KAMA ALIVYOKUWA MKAPA

    ReplyDelete
  9. Michuzi ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa ndege kule Songwe Mbeya unaendeleaje??

    Unaweza kutupatia mapicha kidogo??

    ReplyDelete
  10. naona wanyakyusa wanaulizia "uwanja wao wa kisasa mbeya"...looking at it...a political move launched that idea, which for obvious reasons it is now almost shelved though ujenzi unaendelea...itakuwa yale ya HANGAR LA ATC pale kia...

    ReplyDelete
  11. Nyumbani ni nyumbani ila ukweli unabakia: uwanja wetu umepitwa na wakati.
    Arrival: Mbovu sana. Taa (mwanga) hakuna. Giza sehemu zote, watu wenye njaa na shibe kibao: hata nairobi sio hivyo. Renovation inadai, AC tusiongee. Services hata kwa sie wabongo feki, watu wa uhamiaji wanatuona kama sie wote matapeli tu, hasa ukitokea Dubai.
    Departure: Kama alivyosema jamaa juu 911 inawajibisha watu. Better unitukane kwa 32 (meno) kuliko huduma za hao watu.
    Bora kupitia namango/nairobi.
    Aibu ukiwa na wageni!!!!
    Blackmpingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...