waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa mh. bernand kamilius membe anamkabidhi mizz tz 2007 richa adhia bendera ya taifa katika hafla ya kumuaga iliyofanyika leo kwenye kituo cha uwekezaji, dar. wanaoshuhudia ni mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji mh. emmanuel ole naiko (shoto) na mkurugenzi wa kamati ya miss tz hashim lundenga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani naomba tuandae mjadala wenye Kichwa cha habari:
    Bendera yetu ya Taifa inakidhi matakwa ktk mazingira ya sasa?

    Wakati wa kupigania uhuru, kujikomboa na kupata uhuru Tanganyika na mapinduzi ya Zanzibar, rangi za bendera yetu zilikuwa na tafsiri yake ktk mazingira ya wakati huo. Lakini sasa mazingira yamebadilika.
    Rangi hizo ni:
    Kijani- uoto wa asili
    Njano-madini na utajiri
    nyeusi-wananchi (kwa maana ni weusi??)
    bluu-maji bahari, maziwa na mito

    Swali langu liko ktk rangi nyeusi ktk mazingira ya leo inawakilisha nini?
    Je ni wakati muafaka kubadili au kuongeza rangi ktk bendera ya taifa ili iwakilishe watanzania wa asili (race) tofauti na weusi??

    Naomba nieleweke kuwa sina ugomvi na huyu miss TZ ila bendera yetu inamjumuisha? au tuna-assume au kufumba macho na kudhani iko sawa!!

    Na Mosonga

    ReplyDelete
  2. we anonymous wa kwanza we kaa hivyohivyo na mawazo yako ya mwekundu,mweusi,mweupe,wa bluu.bendera ya tz ilipoanzishwa kulikuwa na mawaziri wahindi kwani walikuwa hawajui hilo?badilikeni jamani wabunge kibao ni wahindi mbona hamsemi?subirini raisi mhindi anakuja sijui mtasemaje!!

    ReplyDelete
  3. dooo haya tena Wachina wanaweza kuchanganyikiwa na kutoa zawadi kwa nchi ya INDIA badala tz.
    msononeka msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...