Habari kaka Michuzi,

Leo nimepita sehemu huku Kibaha na kumkuta mwanamuziki maarufu, Freddy Saganda, aliyeimba wimbo ule wa kichaga "Masawe Alikuwepo" na pia mpiga guitar wa Zemkala Group na pia Shada Group ya Kalola Kinasha.
Huyu mdau amenambia kwamba amejichimbia huku Kibaha kwenye studio mpya kubwa za Usanii Production akifanya Music production pia akifanya ubunifu wake wa sanaa ya muziki.
Anadai amepapenda hapa Kibaha na ni hizo studio za kisasa zinazomfanya awe huru na kufanya kazi kwa ufanisi kuliko studio alizowahi kukutana nazo mpaka sasa. Studio hizi zinafanya Music, Graphics na Video production.Tusubiri vitu vyake.
Mdau Godfrey


Kibaha Kontena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Godi Semwaiko siku hizi umekuwa Correspondent wa Michuzi? Wakilisha Kibaha Maili moja. Hebu tupe picha ya Njuweni hapo pembeni.Vile vile picha za Mkoani na Mwanalugali tafadhali

    ReplyDelete
  2. Niambieni brothers Gody na Saganda (Sag-Under Bway). Naona tumepoteza mawasiliano kidogo. Nichekini basi kupitia: k_kilonzo@hotmail.com

    ReplyDelete
  3. Oooooh! Jamani Freddy Saganda! Mie mwenzio nina shida ya ule wimbo wako niweke kwenye cd kisha nitumie hapa hapa dar kwa gharama yoyote ntalipa, email yangu ni pendombe@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Big up kijana naona unaendeleza fani..kaka yako hapa wa muchs Mataba

    ReplyDelete
  5. What a style to Advertise The Usanii Studios Godfrey,Naamini hiyo ni mojawapo ya Usanii vilevile.Kazi njema,Ohh! now i can understand Why the 'BLUNT TONE' the Other day.
    ***Haux***

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...