nyota wa liberia george weah alipokuwa bongo na timu ya taifa ya nchi yake aliongea na waandishi ukumbi wa habari wa maelezo. yeye alitangulia na ndege yake na alikuwa akifanya mazoezi na veterani wetu pale lidaz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. KUSHOTO KWAKO SIYO SHYROSE BHANJI KWELI!

    ReplyDelete
  2. Bro Michuzi, umeenda kwa mfungwa anayegraduate, maana nasikia maadalizi yako ya nguvu. Usiache kutulete picha zote, maana tunataka kujua kava nguo gani. ALL THE BEST HARUNA, kwakugraduate ukiwa Jela, duhh umekuwa mfungwa wa kwanza Tanzania. nafikiri na wingine watafuata.

    by Mdau RK

    ReplyDelete
  3. Michuzi! Huyo dada mwenye nguo ya black na dots white ni Shy-Rose Banji wa NMB??

    Alikuwa akifanya kazi wapi enzi hizo??

    ReplyDelete
  4. duh sikujua huyo dada anayetokea sana kwenye magazeti siku hizi alikuwa bomu madawa yanasaidia washkaji

    ReplyDelete
  5. Nonda Shaban 'Pappii' enzi hizo anakipiga Yanga,sasa hv yupo Galatasaray ya Uturuki kama sijakosea na wikiend iliyopita alitikisa nyavu mkongomani yule. Hv kwanini wachezaji wa bongo wengi wanapotea haraka sana? Ile first eleven ya akina Nonda pale jangwani na wale wa msimbazi hakuna hata mmoja aliyebaki kilingeni hadi hii leo! Hivi ni kwanini? Au wanadanganya umri kutokana na kuchelewa kutoka?

    ReplyDelete
  6. MICHUZI MIMI NAKUONA WEWE SIMUONI G.WEAH

    ReplyDelete
  7. kaka,huyo wa kwanza kulia sio JUMA PINTO? Kama ndiye, wallahi watu tunatoka mbali jamani!!!!lol.

    ReplyDelete
  8. sasa kaka michuzi ndiyo nini hivyo
    huyo George Weah ndiyo yupi hapo?
    watu wengine tunakumbuka jina tu.
    Michuzi nawe!!! watu weeengi kwenye picha halafu unataka tumtambue mmoja loh !!!

    ReplyDelete
  9. This blog is proudly sponsored by TIGO, the leading mobile company that value and listen to its customers. mh, michuzi!!!
    Hivi sio hivi "This blog is proudly sponsored by TIGO, the leading mobile company that valueS and listenS to its customers.

    ReplyDelete
  10. Michuzi namuona "Jeshi" wa Dallas-Texas pembeni yako daah! kweli watu wametoka mbali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...