mikonozzzz ina raha yake hasa ukipigwa wewe baada ya kustaafu fani hiyo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi inaelekea Titi la huyo dada mwenye blauzi nyeusi lilivyokugusa hapo limepitisha ELECTRONS kwenye mwili wako, zikapeleka meseji kwenye ubongo, na ubongo nao ukapeleka meseji mahala pake, na ndo mana umeweka mikono yako hapo ulipoweka.
    Na bahati yako tu kwamba hukuchomekea shati.
    Vinginevyo ungekuwa umetoka mkanda nje! Kudadadeki walai! Sijui ingekuwaje!

    ReplyDelete
  2. Michuzi line kweli umestaafu au kanyaboya hiyo,kwa mimi ni kwamba ukijua kuendesha baiskeli hata kama ukawa kipofu utaendesha tu, kwa sababu fomula ni ileile.

    ReplyDelete
  3. SI NILIKWAMBIA MICHUZI KUWA UKI-CHILI HAO VIUMBE WENYEWE WATAKUWA WANASOGEZA MIKONO. WEWE NI MTU MAARUFU BWANA INATAKIWA UANZE KUWA NA PROTOCOL, SIO KILA SIKU MIKONO INAWAYAWAYA TU. HAPO KWENYE URITHI SIO PAZURI, WAKIKUWEKEA MIKONO MABEGANI WEWE WAVALISHE MIKANDA. HAPO ITAKUWA POZI BAAB KUBWA. I HOPE SHEMEJI YETU WA UGANDA ANAELEWA.

    ReplyDelete
  4. Jamani Michuzi,
    Huyo dada mwenye miwani ananitesa...mwanzangu si unipe ma-contact yake? Kama wewe ume-staafu usiwe Joka la Mdimu basi....tuachie wengine..!! Mkaka wa USA

    ReplyDelete
  5. michuzi nipe contact za huyo dad mwenye miwani nitakupa zawadi nzuri ambayo haujawi kupata katika MAISHA YAKO,SI MCHEZOO MZEE MWENYEWE NAKUAMINIA

    ReplyDelete
  6. rudini kwenu nyie wabongo,mkiona wanawake wa bongo mimacho inawatoka na ahadi kibao,rudini kwenu au VIZA zimekwisha? mtajijua huko mlipo na hao wanawake wa huko ughaibuni.

    ReplyDelete
  7. WAAMBIE HAO WAKIONA WANAWAKE WAZURI AHADI KIBAOOOOO,HUKO WANAPOISHI WANAKOSA HATA NAULI ZA KULUDI KUWASALIMIA WAZAZI WAO

    ReplyDelete
  8. NI KWELI. USA, USA KUMBE HOVYO TUPU. UTAKUTA HUYU PENGINE ANAFANYA KAZI YA ULINZI USIKU, MAKARATASI YAMESHA-EXPIRE KIASI KWAMBA HATA MAMA YAKE AKIFA KULE TZ LEO HAWEZI KWENDA KUMZIKA. KAZI KUJIFARAGUA TU KUMBE BURE HAKUNA LA MAANA. USIMSUMBUA MICHUZI KUOMBA CONTACTS. NENDA MWENYEWE TZ UKAWAONE MABINTI KAMA UNA UWEZO...

    ReplyDelete
  9. michuzi ukienda mahala kama hapo tuwasiliane siku ingine mimi na mabinti dam dam najua nitakutana nao nikiwa na wewe,hao wanaotaka contact wazifanyie nini?huto dad ni mmganda ameshaludi kwao

    ReplyDelete
  10. ka suzi kanazidi kunenepa WE MTOTO unakula nini siku hizi

    ReplyDelete
  11. Msiponde watu walio unyamwezini, sio wote kwamba hatuna makaratasi. Makaratasi ni kuchangamka kwako tu wacheni roho kikorosho hizo. Watu tunabembea kishenzi huku na hakuna lolote mnaloweza kufanya. Michu tupe contacts na waliokasirika wacha wakajipindue wnakoishia kama Buguruni au Manzese shauri yao. Sisi tuko Ubatani huku na sasa hivi tunaangalia Carling cup na Heinekein baridi. Haya mwageni razi basi maanake ndio urithi mlio nao!! Roho mbaya tu.

    ReplyDelete
  12. kuwa unyamwezini sio kua na hela mpewe contacts huyo dada ameomba ??hacheni habari zenu

    ReplyDelete
  13. Hela za nini, ndio akili za knyume nyume hizo. Mabo ya hela ili "unkock some boots" ni mambo ya kizamani, come on peeps. Wake up and smell the roses!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...