Kwa mapigo mbali mbali kama hayo hapo juu, Nguo za harusi na mengineyo mengi watembelee Babymegspa kwa bei iliyo nafuu sana. Wahi sasa kwa kujishindia zawadi nono kwa kila mnunuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Afadhali kwa dada yangu ZEZE unajua na unapata unachoona kwa muda huo huo, sasa unataka viatu halafu upige simu Ukerewe? nani atalipa hizo gharama za simu?

    ReplyDelete
  2. tena umenikumbusha, hivi BIO oil ntapata wapi, maana nimezunguka kama nini, aje zeze anijibu!

    hawa vitu vizuri, lakini kama ulivyosema unavipata lini?

    ReplyDelete
  3. Wabongo bwana sijui vipi unawaza simu je hakuna e-mail?

    Vizuri gharama kuna wengine tunaenda manzese, wengine wanaenda huko uliposema na wengine wanashop UK, Saud Arabia, n.k choice ni yako na uwezo wako unapofikia kama hauwezi unaenda sehemu nyingine kama mimi najirusha na machinga.

    Unataka kupendeza sharti gharama uingie eidha kwa kupanda dala dala kwenda dukani, ku-order ktk mtandao ata kupiga simu.

    Fikiri kabla hauja nena anony hapo juu.

    ReplyDelete
  4. The world is a small village through the technology we currently have so nothing is impossible. Try to remember this is 21st century.

    Technology + Money + Needs and wants= Satisfaction

    PeAcE

    ReplyDelete
  5. This is huge...lo...na gharama ya kuvikomboa nani atanilipia?

    Kwanza mimi nataka leo leo...

    Ujasirimali huu mgumu..mangi kwa akili basi tu...

    ReplyDelete
  6. Huyu duka kweli au anacollect hizi picha kutoka kwenye site nyingine na kuziweka kwenye blog yake.

    Kweli Duka duka uko Uk ushindwe kuweka website yako?

    Mh yangu macho tusijekuanza kutafutana mtu akiingia mtini na hela za watu. Wewe michuzi utashikwaga shart siku moja. Fanya homework before hujaweka matangazo yako huku. Watu wanakuamini sana kama Oprah. Ukiendorse kitu chochote humu watu wanafuatilia kishenzi. Ila vingine vinatisha.

    ReplyDelete
  7. wabongo hacheni ushamba kwani dhl na fedx hakuna? ambapo ni bei poa tu haina haja ya kutuma sijui bandarini na kukomboa.

    Kutokuwa na website sio ushamba au lolote mbona wizara mbali mbali muhimu za Tanzania hazina website? Mbona makampuni mbali mbali Tanzania na sehemu nyingine duniani hazina website? Labda wapo njiani kufungua website!

    Unataka kununua uliza process na inawezekana mambo yakawa mengine.

    Tupunguze yale mambo ya kutoa kasoro kwa kila afanyacho mbongo namna hiyo hatutafika na tutabaki kuwa masikini wa kifedha, kiroho na kimawazo.

    Nawakilisha.

    ReplyDelete
  8. mshkaji wa hapo juu,haina haja ya kukomboa ukishalipia unachotaka mchezo umeisha mzigo wako unaupata hapohapo,na hivyo vitu havija kopiwa nakupestiwa picha ni nizakwao na hivyo vitu ndio vinavyopatikana.

    ReplyDelete
  9. Nitasupport legitimate businesses sio mambo ya kwapu kwapu.

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  10. Hivyo viatu vinaumiza! ukiona akina Beyonce wamevaa ujue wanavua mara wakitoka kwenye stage! Vinaumiza kweli, inabidi utembee na gari au uzitie kwenye begi ukifika unapoenda ndo unavaa!

    ReplyDelete
  11. What is a legitimate business? Is it the one only mzungu or muhindi is doing? Cause in other people brains or minds that is the definition but once a black Tanzanian male or female establish the business base then that becomes not a legitimate business!

    If these kind of behaviour doesn't stop within this century then I’m hundred percent that this generation will end up being poor in every sector forever and ever.

    What makes other countries in the world to succeed and become strong nations is from the roots that the mind of the people is positive in which you cannot criticize another fellow citizen without having a concrete proof of what you are bragging for.
    Again, we will keep asking ourselves why we are poor? But the answers are within us!!

    Let for once our mind concentrate on positive side and not trying to let each other down. If somebody is trying on something let keep supporting him / her then we will go from there.

    God bless this generation of Tanzania, God bless Africa.

    ReplyDelete
  12. anaweza kuwa na duka lakini hizi picha sio zake ametoa kwenye maduka makubwa kama victoria's secret, banana republic, forever 21 na kwingineko anajua mwenyewe. Hizi ni cut and paste tusiwe wajinga. Na watu wakiuliza sio kuwa wanakashfu watu wanataka kujua ukitangaza kitu ndio umeshafungua mlango na majibu yawe hadharani.

    ReplyDelete
  13. Nioneshe picha yoyote unayo sema ametoa kwenye hayo maduka na pia nipe link zake kama una uhakika unachosema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...