Home
Unlabelled
maimuna
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wala usishangae Bwana Michuzi. Ni kweli kabisa hata watasha hukosea. Na ukiwasikiliza sana wengi hufanya makosa mbali mbali ya ki-lugha. Na ndio maana kuna mitihani kama vile GMAT kwa ajili ya kuingilia Business School, au mingine ya kuingilia shule za udakitari na nyinginezo ambayo wao pia hufanyishwa na baadhi huwapa taabu au kushindwa. Ni kama lugha nyingine yoyote. Mfano mimi ni mswahili wa asili kabisa. Lakini nikiingia kwenye zile kanuni hasa za lugha kuna uwezekano nikafanya makosa. Hawa watasha tunasoma nao, tunafanya nao kazi. Mara nyingi hata wao huja kutuuliza maswali ya lugha ya kiingereza "Hapa ni sahihi?" Moyoni unabaki unashangaa. Lakini ndivyo ilivyo wangine wasiosomea lugha hasa hufanya makosa kama tufanyavyo sisi tunapoongea au kuandika. Wakatabahu!
ReplyDeletehamna kosa hapo
ReplyDeletewakulaumiwa ni wabeba mabox...
ReplyDeleteHii itakua duka ya mhindi. hayo makorokoro hivyo? Sidhani huyo ni mtasha wenzetu wako makini hawaendekezi makosa lakini mhindi kama mbongo. Kuprint copy ya mashahihisho anaoa uchungu kupoteza ink ya printer yake...
ReplyDeletethere's nothing wrong in it...
ReplyDeletehata wewe unaweza kukose spelling ukiandika kisawahili.
ReplyDeletehii post ni sehemu ya burudani ndani ya blog, disregard it .