mdau huyu alitia fora tamashani kwa mivaaji ya ki-malboro aliposhiriki kwenye michuano ya kucheza sebene. bahati mbaya hakushinda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. yeeh hah!Cowboy ndani ya bongo.dah

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa naona joto lilimzidi kwa hiyo akachemsha.

    Hebu checki ...

    1. Kofia jeusi = joto
    2. Shati jeusi = joto
    3. Mikono mirefu = joto
    4. Jeans tight = joto
    5. Cowboy boots = joto
    6. Jua kali linalokausha mpaka nyasi = joto^2
    7. Kucheza Ngwasuma = joto

    Je utashangaa kwa nini alichemsha? Ni masuala ya kisayansi tu, sio kwamba hana kipaji.

    ReplyDelete
  3. wabongo nimewavulia kofia...hetetette

    ReplyDelete
  4. DU... K@Z! !PO h@PO B0#GO

    ReplyDelete
  5. SHIRT LIFTER

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...